Recent Comments

Halmashauri ya Manispaa Temeke

By Asanterabbi Mtaki Mar 18, 2018
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke baada ya kuwaondo wakazi waliokuwa wakiishi katika nyumba zilizokuwa Temeke Quarters wana mpango wa kuendeleza eneo hilo kwa mradi wa ujenzi wa majengo ya biashara na pataitwa Temeke mwisho satellite City