Hivi shida huwa ni nini jamani? maana matukio mengi kwa sasa huchechewa na mapenzi na mahusiano na mara nyingi matukio ya kikatili huwakumba watu ambao wana uhusiano fulani fulani hivi ambapo wengi hufanya matukio ya ajabu ili kulipiza kisasi kwa wale waliowawaumiza au kuwajeruhi kwa namna moja ama nyingine na ndiyo maana hayakiauki midomoni mwetu.
Nikukumbushe tu ni kwamba licha ya kuwa na hasira hata nafasi za kulipa kisasi ila ni lazima kukumbuka kuwa dunia ya sasa inaongozwa kwa sheria na taratibu fulHivi shida huwa ni nini jamani? maana matukio mengi kwa sasa huchechewa na mapenzi na mahusiano na mara nyingi matukio ya kikatili huwakumba watu ambao wana uhusiano fulani fulani hivi ambapo wengi hufanya matukio ya ajabu ili kulipiza kisasi kwa wale waliowawaumiza au kuwajeruhi kwa namna moja ama nyingine na ndiyo maana hayakiauki midomoni mwetu.
Nikukumbushe tu ni kwamba licha ya kuwa na hasira hata nafasi za kulipa kisasi ila ni lazima kukumbuka kuwa dunia ya sasa inaongozwa kwa sheria na taratibu fulani na hakuna atakae kuwa juu ya sheria hizoo kisa tu hisia zake za kisasi na chuki au ukatili.
Siku chache tu zimepita kumetokea tukio la kikatili la kijana kumshambulia baba yake mzazi kwa kuwa alilala na mke wake kitanda kimoja na kupelekea kifo cha mzee huyo, hii ndiyo inaumiza lakini hakuna haja ya kujichukulia sheria mkononi na kufanya maamuzi ya kuua eti kwasabababu ya huyo baba kulala na mkewe.
Mfululizo wa matukio haya unaweza kuendelea na hata kushamiri zaidi kama hatutaondosha chanzo cha tabia hii, vitabu vya dini vinatueleza kuwa watu wa Mungu wanahangamia kwa kukosa maarifana hii ni kutokana na watu kufanya maamuzi kwa kutukia hisia zaidi kuliko matumizi ya akili ambayo ndiyo maarifa ambayo mtu akiyakosa anaweza hangamia.
Hivyo basi kukosa maarifa ya kuendesha mwili na akili huenda ikapelekea kufanya matukio makubwa na ajabu katika maisha ambayo huweza cost maisha moja kwa moja na kuharibu maisha ya watu.
Kwa ushauri tu ni vyema kutumia zaidi akili kuliko hisia maana matumizi ya akili yatakufanya upime matokeo ya kitu kabla ya kukifanya ambapo hii itasaidia kukufanya usichukue maamuzi ya kuharibu kabisa maisha yako na kufanya kuwa salama kimaisha na hata kimahusiano.
ani na hakuna atakae kuwa juu ya sheria hizoo kisa tu hisia zake za kisasi na chuki au ukatili.

Recent Comments