Recent Comments

KIFAHAMU KITUO CHA POLISI CHA DJURULIGWA

By Simamia Ngara May 23, 2024
Exif_JPEG_420

NA,ANKO G.

Kutokana na ukubwa wa kata ya Kabanga inayo patikana wilayani Ngara mkoani Kagera Kijiji cha DJululigwa kinacho patikana katika kata hiyo kwasasa kimepata kituo cha polisi.

Aidha licha ya kituo hicho kujengwa kwa muda mrefu kwasasa kimekamilika kwa asilimia kubwa lakini mpaka sasa bado hakijaanza kutumika.

Kwasasa wakazi wa Kijiji cha DJululigwa wanasubilia kwa hamu kituo hicho kuanza kutumika tofauti na hivi sasa ambapo wanategemea kituo cha polisi cha Kabanga.

Kituo hicho kipo jinarani na ofisi ya Kijiji hicho pamoja na Senta pembezoni mwa barabara kuu na huu ndio muonekano wa kituo hicho kwanje.