> Aliingia madarakani Agosti 26, 2005 taifa hilo likiwa limegubikwa na mgawanyiko wa kikabila uliosababisha mauaji ya watu takribani 300,000 kwa muongo mmoja
> Maofisa 17 wa Jeshi la Burundi walifikishwa Mahakamani kwa kosa la kujaribu kuipindua Serikali yake mwaka 2015
> Juni 2016 Wanafunzi zaidi ya 300 wa darasa la 8 walisimamishwa masomo baada ya kuzichorachora vibaya picha zake
> MATATANI KWA KUMPIGA CHENGA: Mnamo Machi 2018 watu wawili âwalitiwa ndaniâ baada ya kumchezea rafu Rais Pierre Nkurunziza katika mchezo wa mpira wa miguu wa kirafiki
> Machi 2019 Wanafunzi 3 wa kike nchini Burundi walijikuta âwakipata tabu sanaâ Machi 2019 kwa kuharibu picha ya Rais Pierre Nkurunziza kwa kuchora kwenye kitabu (text book)
Recent Comments