2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?»
3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype..
4. Ukimwambia naomba tufahamiane anasema anza wewe, na ukimaliza ili yeye aanze basi anakuwa offline.
5. Kawaida yao huwa hawaanzi kukutafuta hewani hata kukupa Hi tu. Usipomtafuta ndo imetoka hiyo.
6. Wamejijengea mawazo kuwa kila mwanaume kwenye mtandao anatafuta mpenzi tu. Hawawazii hata urafiki wa dhati.
7. Wengi hawapendi maswali na hukaa kimya hata ukiwatext ila ukipost 2 picha ya mwanamke mwingine utaona anakufata inbox na kukwambia «msalimie mkeo»
8. Wanapenda sana kujifanya wako busy ila kutwa kucha yupo online.
9. Mnajuana leo kesho anakuomba elfu kumi ana shida nayo sana(maboya yanakamatwa)
10. Ukifanikiwa kupendwa na hawa mademu atakuja kwako kwa nauli yake ila kama we ndio umependa jipange tu kwa nauli.
11. Mwisho wanaamini hakuna mwanaume wa ndoa anayepatikana facebook(wote waharibifu tu)
Sasa najiuliza hivi kuna dunia inaitwa facebook..??
Recent Comments