Recent Comments

MAHAFALI 58 YA SHULE YA MSINGI MABAWE

By Mwafrika Sep 25, 2024
Exif_JPEG_420

Siku ya Tarehe 25/9/2024 yamefanyika mahafali ya Darasa la Saba katika Shule ya msingi Mabawe,ambapo mahafali hiyo ni ya 58 tangu kuanzishwa Kwa Shule hiyo mwaka 1932 ambapo Shule hiyo Kwa Sasa wamehitimu wanafunzi 39.

Shule ya Mabawe

Shule hiyo inajumla ya walimu 10 na uwiano Kwa Sasa ni mwalimu mmoja Kwa wanafunzi 70 huku changamoto ikiwa ni ukosefu wa walimu.

Shule ya msingi Mabawe inapatikana Katika Kijiji Cha Mkalinza Kata ya Mabawe katika Wilaya ya NGARA Mkoani Kagera.

Wahitimu

Changamoto ni kukosa vyoo na Kwa Sasa matundu matano yapo Kwa upande wa wanawake na wanaume matundu 5 huku mahitaji yakiwa ni matundu 22.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *