Hakainde Hichilema ni mfanya Biashara wa Taifa la Zambia na Mwanasiasa wa Muda mrefu. Sasa ndiye Rais mteule baada ya kugombea Urais kwa mihula mitano 2006, 2008, 2011, 2015 na 2016, ameshinda 2021 kwa zaidi ya 59% za Kura. Amekuwa kiongozi wa chama cha United Party for National Development tangu 2006. kwa taarifa za mtandao wa(Wikipedia) .Â
Alizaliwa: June 4, 1962 (Umri 59 ), Monze, Zambia
Utaifa: Zambian
Mwenza: Mutinta Hichilema
Watoto: Chikonka Hichilema, Miyanda Hichilema, Habwela Hichilema
Amehutubia Taifa
Recent Comments