Unampa aslomia ngapi Mh Paul Christian Makonda (Katibu wa Nec Itikadi na uenezi Ccm Taifa)kwa alichoanza nacho hasa kutoa maagozo kwa mawaziri na waziri mkuu kufuatilia migogoro mbalimbali ya Ardhi na mambo mengine?
Je unatamani afanye kitu gani ambacho unazani kitasaidia chama chake na wananchi,pia unazani anachokifanya yupo sahihi kwa asilimia ngapi?weka maoni yako hapo chini mdau wa simamia.com.
Recent Comments