Recent Comments

Ngoma Ikivuma Sana Mwisho Hupasuka

By Baraka Bitariho Dec 20, 2023
Ama ni kutafuta Sifa,au Uwajibikaji kuonesha wengine hawawezi au tuamini kabisa Ngara Ina kiongozi mmoja tu?
Kila kitu Mbunge,kila jambo Mbunge, hakuna Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa HALMASHAURI wala Wakuu wa Taasisi,Mashirika na Idara?
Kila taarifa Mbunge, kila kitu George, Ndaisaba! Si dalili salama kwa viongozi wetu.