Recent Comments

Rais Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

By ObyMack David Aug 25, 2020

Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan.