Rais Dkt. John Pombe Magufuli âJPMâ amesema yeye kama kiongozi mkuu wa nchi haogopi vitisho vya kufungwa ama kushtakiwa vinavyotajwa na baadhi ya wanasiasa baada ya kuwashughulikia wawekezaji wanaokiuka mikataba na kuhujumu uchumi wa nchi na badala yake ataendelea kuwatetea Watanzania wanyonge ili wapate haki yao. JPM ameyasema hayo leo wakati akiwahutubia wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini humo. âHii nchi imejaa mafisadi, wamo wa CCM, Chadema, CUF, ACT, wazungu na wengine hawana chama. âSiogopi kufungwa, kama mliniteua niwatetee, nitawatetea kwa nguvu zangu zote juu ya majizi, tumeibiwa vya kutosha, madini yetu yanachimbwa yanapelekwa nje na hatupati kitu. âWengine wamelipwa pesa ili kupinga tusichukue hatua dhidi ya majizi, nawaambia mimi kama rais nimejitoa kufa na kupona mpaka nihakikishe mali za Watanzania wanyonge haziibiwi na haki yao wanaipata.
nini maoni yako juu ya hili andika maoni yako hapo chini kwenye comment. Endelea kusoma habari zoote muhimu zilizojiri kote kupitia simamia.com sambaza na wengine.
Kwa jina anaitwa Shaban Rashid Said Kisleu na ni mhariri hapa Simamia Media Group.
Natumaini mtafurahishwa na yake nitakayowaletea na mtaendelea kufatilia mitandao wa Simamia.com
Kumfikia, tuma email SimamiaTeam@gmail.com
13 thoughts on “Rais Magufuli Asema Haogopi kufungwa.”
Mimi sina ubushi nakusapoti mpaka mwisho wa safari 2020 na ikibidi endeleya tu, hata upinzania wasingeliweza haya unayoyafanya Mwenyezi MUNGU akupe hikima na utulivu kwani kutetea wanyonge nikazi kubwa sana na madaraka haya amekupa ALLAH. Fanya kazi waliokutuma wananchi.
Comment:
huyu ndio raise tuliokuwa tunamsubiri watanzania sasa tumempata hapa kazi tu
Safi sana na mmi pia nakupongeza na ninasema ashukuriwe mungu wetu ametupa kiongozi bora na anaye weza kazi
DK magufuli piga kazi tumbua majipu yote
Na sisi kama watakatifu wa mungu tutakuombea siku zote TENA wala usimwogope MTU .
Mbona uyu rais anasingizia neno wanamchi wanyonge? nasheria anazozitunga yeye nfizakwanza kukandamiza haohao wange? ushauli wangu atafute mameno mengine yakutwambi sio kusema anatetea wananchi wanyonge nautawala wake ndowakwanza kukandamiza aho wanyonge
Maamuz yake n maziri na Mungu anajua mawazo ya moyo wake. Weng wananchi tupo nyuma yake kwa maombi na sala maana tunajua kizuri hupigwa vita. Eeeerh Mungu nakuomba mlinde mpiganie na umshindie muongoze alitumikie taifa letkqa mkono wako Mungu atasha wanaopigana naye Mungu wewe wajua tena wawatAmbua hivo. Kwa ujumla tuwezeshe nas ktk taifa letu kufikia ktk hali njemA.
Rais…. Mungu akusaidie ufikie malengo hayo.ijapo sana wote wafanya au wanampenda iwe kwa vikwaza songa mbele daima Mungu yupo nawe.
Hata Yesu aliwatetea na kuwaokoa ktk matatzo yao lakina walimuuwa kwa manufaa yao wachache istoshe walikuwa viongozi.
Mungu akusaidie Rais wangu.
Rais magufuli acha usanii. hakuna awamo wananchi wamepata shida kama awamu hii.
Unafunga watu bila kupitia mahakama. Wapinzani wanapotea km Ben saanane hawajulikani walipo.
Unamtuma Bashite kunyanyasa wananchi halafu hapo hapo unajidai unawatetea. Acha UNAFIKI Magufuli. watu wanafiki mara zote wana mwisho mbaya sana.
wananchi WANAKUFA NJAA we unawacheka? na kuwakejeli?
We km hakuondoka na Saratani basi ajali mbaya inakungoja.
Nampongeza saana rais wangu JPM
Kwa kazi anayofanya maana ni wachache wanaopatikana kusimamia maslahi ya wengine
Ingekuwa katiba inabadilishwa kwa kufanya kazi miaka hata
20 tungebadili!!!!
Kuhusu njaaa ya watanzani nafikiri njaaa tangia kuumbwa kwa dunia njaa IPO
Hata nchi zingine kikubwa na sisi watanzania tubadilike twende na matokeo ya tabia ya nchi
Isack
watanzania tuzid kumuombea raisi wetu na taifa kwa ujumla
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe kaza buti wewe ndo tulikuwa tumekusubili. Hadi 2025 uchaguzi
Comment:chapa kaz kiooo chetu ni ww
piga kazi mh magu…..BT uctuxahau vjana kwa kutupa fursa ili tuweze kujikwAmua kiuchumi..,…
Sio wakati wa kampeni hamna anachokokifanya zaidi ya kampeni anaongea yeye anajisifia yeye akiambiwa ukweli anakuwa mkali waruhusu watanzania wasikilize upande wa pili vile vile wataamua wao usiiutumie upinzani kurudisha imani vijembe vimezidi