Recent Comments

SINGLE MAMA WAZIDI KKUINGEZEKA NINI KIFANYIKE?

By Mwafrika Feb 12, 2024

Na mwafrika
Kumekua nankatabia ka usingle mama hapa nchini Tanzania 🇹🇿 na hata Afrika kwa ujumla jambo ambalo ni hatari kwa maisha ya mbeleni na vizazi vijavyo.

Hivi unajua chanzo cha usingle mama ni nini basi ngoja nikusanue hapa kupitia Simamia.com ili upate kujua na pia kukuelezea faida na madhara yake.

Kwanza chanzo cha single mama ni watu kukiuka misingi ya dini maana Dini na mazehebu yote yanasema kuzini dhambi au kwa lugha rahisi ndoa ndio inatambulika.

Lakini tukija kwa upande wa utamaduni wetu kama watanzania na waafrika pia tunaenda nje ya yale ambayo wazee wetu waliyokua wakiyafanya hasa kama mtu unataka kuoa mahali basi anatumwa mzee anaenda kukutana na familia ya mwanamke kisha mambo yanaisha tena bila hawa wapendanaokukutana so hapo ni ngumu kupata single mama.

Kingine tunaenda nje ya maisha yetu maana hata wazazi hatuwasikilizi maana vijana wasiku hizi tumekua wajuaji sana yaani tunaona wazee wetu kama wamepitwa na wakati na sisi ndio tunajua kwenda na wakati.

Kingine mavazi ambayo tunawafundisha watoto wetu wakiwa wadogo kuyavaa basi .pika ukibwani wanayavaa na yanaleta ushawishi na mwisho kwa wale watakaoshindwa kujizuia basi safari yao ndio huishia kwenye usingle mama.

Mwisho kabisa nitoe ushauri tu usingle mama hauna faida kwa jamii ila kwa single mama mwenyewe ndio anafaida maana anakua huru zaidi lakini madhara ni mengi maana mtori anaelelewa na upande mmoja ni ngumu kufanana kisaikolojia na aliyelelewa na wazazi wote maana tunajua maneno wanayolishwa na hao Masingle mama.