Recent Comments

Thubutu, Usiogoe wala Kudharau

By ventas malack Feb 27, 2022

Kwasasa dunia inakwenda kasi sana kimaendeleo hasa upande wa teknolojia ambapo kilakukicha huwa kunakitu kipya kinaletwa ili kurahisisha zaidi maisha ya mwanadamu na kuifanya dunia kuwa karibu zaidi.

Sasa kumekuwa na mabadiliko sana hata katika nyanja ya uchumi na fedha na kupelekea uwepo wa fedha mitandaoni yani crypto currencies hivyo watu huwekeza huko na wengine kufanya biashara ya kuuza na kununua hisa mfano mzuri ni bitcoin,forex na zinginezo.
Wakati suala hili likizidi kushika hatamu Naombeni niwaelezeni kitu leo, kuna baadhi ya watu wanawadharau sana watu wanaowekeza wakijua kuwa watapoteza. Ni kweli kuna muda huwa ni hatari kama kapuni unalowekeza nalo halieleweki lakini kama ni sahihi basi ni njia nzuri ya kupatis mtaji utakaosaidia kutrade baadae.
Watu wenye mitaji mikubwa ndiyo wanaofanya vizuri kwenye investment na trading za crypto currencies.
Nishauri tu kuwa kutegemea chanzo cha mapato kimoja siyo vyema sana hivyo basi kuwekeza na mambo ya crypto currencies ni vyema kushiriki tartibu utapoanza kufanikiwa huko utaoba maendeleoa yako na mabadiliko ya uchumi wako cha msingi tafuta platforms nzuri wekeza utanishukuru baadae.

By ventas malack

Make the World Aware