guzi TanzaniaMichezoVideoVipindi vya Redio
Trump na mke wake wamepatikana na virusi vya corona baada ya kuwa kwenye karantini
Dakika 4 zilizopita
HABARI ZA HIVI PUNDE
Trump na mke wake wamepatikana na virusi vya corona baada ya kuwa kwenye karantini.
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba yeye na mke wake Melania Trump wamepatikana na virusi vya corona na wako kwenye karantini.
Ametoa tangazo hilo kwenye mtandao wa Twitter
Recent Comments