MKOPO USIOKUWA NA RIBA WA KILIMO CHA ZAO LA ALIZETI KWA WAKULIMA WA NGARA
Meneja wa kampuni ya Appettana Enterprises, Bwana BARAKA CATHBERT MINANAGO, anawatangazia wananchi wote wa Wialaya ya Ngara kuwa, kampuni ya Appettana enterprises imeanza kutoa mikopo isiyokuwa na riba kwa wananchi wote wanaotaka kulima zao la ALIZETI.
Ili kupata mkopo, unatakiwa uwe na shamba lililolimwa tayari, utuite kuja kukagua shamba lako, harafu tutakupatia fomu ya kujaza na baada ya hapo utapewa mkopo wa fedha taslimu pamoja na mbegu bora ya ALIZETI.
Kampuni ya appettana Engterprises inatakeleza ahadi ya MH. MBUNGE WA JIMBO LA NGARA, NDAISABA GEORGE RUHORO, ya kutoa mikopo isiyokuwa na riba kwa wakulima wa jimbo la Ngara. Kwa kuanza, kampuni imeanza na mikopo ya zo la ALIZETI KWA MSIMU HUU UNAOANZA MWZI WA PILI 2021. Mikopo inaanzia TZS 200,000 hadi TZS 2,000,000 kulingana na hitaji la mkulima.
Upatapo taarifa hii mjulishe na mwenzako.
 Tupigie kwa Simu namba 0748 394 515. au fika ofisini kwetu ili tuweze kukuhudumia.
Tunapatikana Ngara Mjini, Nyuma ya Royal PUB karibu na Junction.
Recent Comments