Recent Comments

WANANCHI WAMUOMBA MGOMBEA UBUNGE KUTATUA CHANGAMOTO YA MAWASILIANO

By Simamia Journal Sep 12, 2020

Baadhi ya Wananchi wa Vijiji vya Murusagamba,Magamba na Ntanga Wilayani Ngara wamemuomba Mgombea Ubunge Jimbo la Ngara Kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Bw. Ndaisaba George Ruhoro kupeleka Maombi kwenye Wizara inayohusika na Mawasiliano kwaajili ya Kuwasaidia kupata huduma za mawasiliano ya simu katika maeneo ambayo hayana huduma kwa sasa.

Wananchi hao, wametoa maombi hayo kupitia Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi uliofanyika katika kata ya Murusagamba

Wameeleza changamoto wanazokabiliana nazo kwa sasa kuwa ni kulazimika kupanda juu ya Miti,Milima na Vichuguu kwaajili ya kutafuata mawasiliano.

By Simamia Journal

Tangaza nasi. www.simamia.com YouTube Chanel: www.youtube.com/c/SimamiaTv