Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametangaza msako wa nyumba kwa nyumba kuwabaini wakazi wa Dsm wasiokuwa na kazi maalum za kufanya. Jeshi la Polisi litaanza msako huo wakati wowote na ameomba ushirikiano wa viongozi wa Serikali za Mitaa, viongozi ambao hawatatoa ushirikiano watakamatwa na kutiwa nguvuni.
Kwa jina anaitwa Shaban Rashid Said Kisleu na ni mhariri hapa Simamia Media Group.
Natumaini mtafurahishwa na yake nitakayowaletea na mtaendelea kufatilia mitandao wa Simamia.com
Kumfikia, tuma email SimamiaTeam@gmail.com
29 thoughts on “Wasio na kazi. kusakwa nyumba kwa nyumba.”
Uhhh. Ubashite sasa ni noumer sasa akiwasaka anenda kuwapa kazi gn
Hii ni nchi huru kila RAIA ana Uhuru wa kuishi popote.
Je anawasaka awape kazi au ujue hii nchi itaharibiwa na baadhi ya viongozi kama hawa kama anarijua hilo kuna watu wanaishi bila kazi kwanin asitoe ajira akaona kama wataacha kufanya, uongoz kaz sana jaman duur
Na waliotumia vyeti feki tutakamatwa nao au vpe uyu jamaa mbona anajifanya mkuu sana kuliko hata rais kwa nn anakuwa na kauli za kudhalilisha watu saana.
Comment: daaah mkuu mimi mtazamo wangu naona tunakoenda tutakua kama kwa kabila
na mm nakubal 2 bora wakatwe maana ck hz hat ukianka chupi huikuti.
May b anataka takwimu ya wasio na Kazi,all in all anataka apunguze uhalifu watu wajishughulishe na sio kukaa bila shughuli
Hii iko poa sana maana siku hiz vibaka hatali wakauze hata karanga barabaran bas??
Uyu Mkuu wa wa mkoa naye watu wanashida baada yakuwatafutia Kazi anataka awafukuze mjin,hii selikali inatakata kutengeneza mashetani badala yamalauka
Sasa watu wanawatimua kazi halafu wanawasaka tena du hii kali
Safi sana mkuu wa mkoa ndg Makonda hongera sana kwa maamuzi sahihi ya kusaka wasio na kazi na wasiotaka kujishughulisha, Maana hao ndiyo huwa vibaka, wezi, majambazi na chokoraa. Sasa wale wanao surport wasisakwe yamkini wao ndiyo wako kwenye makundi niliyoyataja. La sivyo wanatoa comments zao pasipo kutumia akili maana hao hao wanaowatetea eti wasisakwe siku zijazo watawavamia na kuwakata kata mapanga au kupigwa risasi wakiombwa watoe hela walizozihangaikia wao kwa jasho lao. Mwisho tuweni makini katika kutoa maoni yetu siyo tu ili mradi umetoa maoni.
Kuna usemi unaoendelea ktk mitandao ya kijamii kuwa hadi mwezi wa saba Atakaeweza kuishi Dar utakuwa Kidume sasa msishangae Anatekeleza au anatii sauti hii
Ni balaa duuuuuh
Kama hawana kaz kuwakamata sio kuwapa kaz ,Bali ni kuongeza mzigoo 2 mi naona serikari iangalie njia nyingunee ya kuwasaidia,kumbukaa baaz yao ingawa hawana kaz maalum lakn Luna ws2 wanaowategeme,soo 2angslie mazara ya kuwakamata wa2 hao bla hatia
labda kweli wanataka kuwaondoa watu Dar kwa nguvu.
Vijana wana malengo na juhudi za kifanya kazi lkn tatizo ajira zimekuwa gumzo kwa maisha ya leo.je?mnawasaka ili muwape ajira au sivyo?maana hii nchi,mmh sijui!
Badala yakutoa ajila kwawananchi wenu mnazid kuwakandamiza kisa nyie mnapiga pesa amfikilii nyie bila yawananchi silolote kaeni chin mjipange sana kukamata watu sio suruhisho ya kupoteza umasikin bali ubepali huo ajila akuna then mnaongea pumba tu
Wasakwe tu naona kama wamechelewa but now awamu ya tano Oyeee…
Uyo anaitaji vita ya wananchi na serekali kibiti itaamia dar ili jiji umekuta watu wew mgeni wengine wazawa hapa utatupeleka kwako kuwa mkuu wa mkoa usitake kuwaburuza watu unavyotaka ww utakuja kuburuzwa ww take care badala yakuitisha mikutano kwajili ya wananchi wasio nakaz ili mjue mtawasaidia vp mnataka kukamata kweli elimu Mali Kwan kunamtu anapenda kuish bila kazi achen……..kila mwananchi watz anaaki yakuish dar usitake kujifanya dar yako
Comment: Wanakoelekea viongozi kwa sasa wanalemewa mwisho sasa watasema watuuze
Ile ishu ya vyeti vya Bashite iliyeyushwa kibabe,wengine wote walioachishwa kazi kwa sio watanzania? Au kwa sababu sio wasukuma? Mambo yako dhahiri kabisa yametajwa hadharani kwamba anatumia majina ya mtu mwingine lkn wapi, kama Ni uongo mbona aliyesema hakukamatwa kwa kudhalilisha vio,hizi? SAWA ILA UKWELI UTANAKI HUYU NI DAUDI ALBAERT BASHITE MR 0
Comment:sio haki hata kidogo coz watu wamemaliza vyuo vikuu ila hawana ajira sasa akiwakata atawasaidia nini?
Mimi naomba uangalifu uzingatiwe kwani wako vijana ambao wamemaliza masomo hivi karibuni, na pia hakuna asiyetaka kufanya kazi bali hawazipatii kazi, huo msako ungetumika kuorodhesha wasio na kazi wajulikane na zikipatikana kazi wazifanye,
nibora akisha wasaka akawatafutie kazi za kufanya katika makampun yaliyo ajiri wagen.
Comment:anajifunzia humuhumu
halafu akisha wabain anawapeleka wap
Zoezi hilo kama itadumu ,ntaishukuru serikali ,kwani kuna watu wanakaa bure kupoteza wakati na kupunguza uhalifu hasa hapa Dar ,wako watu wanatapeli watu hasa wageni Kwa kuwa polisi feki ,ukifika mitaani ya kariakoo wako watu wanakaa mabarazani hawana kazi ,kazi yao kupiga sogo ambayo hasina faida Kwa nchi yetu ,
Kabla ya kulitekereza hili nadhani wangefanya kujiuliza kwaza wamewaandalia ajira wote wanaotafuta kazi? Lakini pia mtaani sio wote wanategemea kutumwa.

Comment:awapeleke WAP aache ujinga asitufanya wananchi tuka msaka yeye.