Kumekuwa na mambo mengi ambayo hutoketa katika jamii ambapo hii hutokana na wingi wa watu na mabadiliko ya jamii na mengineyo ambayo huwafanya watu kufanuya matukio yaa ajabu na kustaabisha.
Mara nyingi matukio hayo huchochewa na elimu pia pesa na kutafuta mafanikio lakini siyo matukio yotea ya ajabu huwa ni hasi tu lakini mengine huwa chanya.
Kwa sasa barani Afrika nchi ya Nigeria ndiyo nchi yenye watu wengi zaidi ukilinganisha nchi zingine pia ndiyo nchi yenye ukuaji wa kasi wa uchumi ambapo kutokana na hilo watu wamekuwa wakibuni mbinu mbalimbali ili kukuza uchumi wao.
Hivi karibuni kuna mchungaji ameanza kampeni ya kuwashawishi waumini wake kuhamia nyumbani kwa ili kuingoja siku ya kiama na kusubiri lango la mbinguni lifunguke waingie kwenda mbinguni ambapo ameweka tozo ya takribani shilingi laki nane kwa kila mshirika ili kwenda mbinguni.
Je kwako hii ni sawa? kiasi hicho ungetoa?
Recent Comments