Recent Comments

IJUE RULENGE NGARA YA MKOANI KAGERA

By Mwafrika Sep 12, 2023

IJUE RULENGE NGARA YA MKOANI KAGERA

NA, ANKO G

Rulenge ni mamlaka ya Mji mdogo inayo patikana katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera kwa asili wakazi wa Rulenge ni Washubi huku Wahangaza na makabila mengine wakifuatia.

Vilevile wengi hupenda kuiita Rulenge Bushubi na hii inatokana na tawala mbili za kichifu zilizo wahi kutawala wilaya ya Ngara ambapo upande wa Rulenge (Bushubi) ulitawaliwa na chifu wa Kishubi na upande mwingine ukifahamika kama (Bugufi).

Leo simamia.com imetembelea mamlaka ya mji mdogo wa Rulenge ambapo inakuonhesha baadhi ya maeneo yanayo latikana ndani ya Rulenge.