Sono kennels inamilikiwa na Bwana Fred ambae anaishi kata ya Kabanga Wilayani Ngara mkoa wa Kagera,ambapo anajihusisha na ufugaji wa wanyama aina ya mbwa wa ulinzi(GS).
Simamia Tv na simamia.com ilipata nafasi ya kufanya mahojiano nae ambapo amesema yeye ameanza ufugaji wa mbwa kama upendo tu ila kwa sasa anafuga kibiashara.
Miongoni mwa Mbwa alionao wanamiezi 4 ambapo kila mmoja anauzwa laki nane na hamsini(850,000)pesa ya Tanzania,kwa mawasiliana piga simu 0744 069 424 au mtafute WhatsApp.