yes 250

KIJANA GOD AJITUPA KWENYE MTO WILAYANI NGARA.

Na mwafrika:

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la God mkazi wa kijiji cha Djululigwa kata ya Kabanga Wilayani Ngara amejirusha katika mto ruvubu ambao ni zao la mto kagera.

Baadhi ya mashuhuda wamesema sababu ya mtu huyo kujirusha ni kurogwa huku wengine waking hawaelewi chanzo na bado wanasubiria hatua za uokoaji ili dupatta mailing au akiwa hair.

Hata hivyo wapo wanqosema kijana huyo aliyejirusha kwenye maji alikua na matatizo ya akili huenda pia ikawa sababu ya yeye kujirusha.

Kijana huyo anaekadiliwa kuwa na umri usiopungua 30 alikua akiishi na watu vizuri na hilo limethibitika baada ya Mh Hafidh Abdallah Diwani wa kata ya Kabanga kusimulia kuwa kijana huyo aliwahi kumuimbia wimbo wa kampeni 2020.

About Mwafrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Endelea Kupata Habari Mbalimbali, Weka Email Yakol

Habari, Uchambuzi, Burundani na n.k.