Msanii wa muziki wa hip hop nchini, Godzilla amefunguka kwa kuwachana wasanii wenzake wanaoishi Ukonga Jijini Dar es Salaam kwa kuwaambia ni miyeyusho japokuwa ni ndugu zake wa kipindi kirefu na bado anawalea.
Zilla amesema hayo baada ya kuulizwa chanzo cha ugomvi wake na msanii Nikki Mbishi pamoja na Wakazi.
âNikki âis my friendâ tumefanya kazi kwenye nyimbo yake, âI donât knowâ sijui kitu gani kimetokea lakini âwe still friend. Mimi sina tatizo kwa sababu kama ingekuwa chochote kimetokea watu tusingefanya kazi pamoja, lakini imekuwa âtoo muchâ,â Zilla alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV.
âUnajua watoto wa Ukonga wengi wanakuwa miyeyusho miyeyusho lakini ni ndugu zangu wakina Wakazi, Nikki tunawalea tutafanyaje wanetu haoâ aliongeza.
Recent Comments