Mlimbwende huyo wa Tanzania, amepost picha mbili katika mtandao wa Instagram akiwa amevaa âkufuliâ huku tumbo lake akiwa ameliacha wazi kitendo ambacho baadhi ya mashabiki wameonekana kutokifurahia.
Missing my baby bump ???.. By the way Happy one week my handsome ? @tanzanian_baby . @buoart shot it ?,â ameandika kwenye picha hiyo hapo juu ambayo ameiweka katika mtandao huo.
Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki katika picha hizo.
am_ommy: Ni kujizalilishaa hukoo nyie wasichana
kushokahassan: Yaani mi naona ni ujinga tu sa si bora ungekaa uchi kabisa tukaona na iyo â¦.
sashamchomvu96: ovyoo kweli sielewi wanawake wanaofanya upuux uo
kidafu: Ovyooooo mwanamke huna Ata aibu mimba TUNU? Kujitia mikosi buree
richardisgodbles??
ibrahtib: dah! picha zingine aibu tupu
Recent Comments