TID ambaye kipindi kifupi cha nyuma aliwahi kukiri kutumia madawa alisema, alishatangaza ameacha mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda hivyo hawezi kurudi nyuma akatumia tena hivyo vitu.
âSijarudia jamani, hayo mambo ni ya uchochezi hakuna la zaidi, nimeshaacha hayo mambo kwa nini watu wanizushie, sijarudia madawa, Â cha muhimu ni kujua mikakati ya kazi zangu kimuziki ndio ninachowaza si hayo mambo. âSina cha kuwashauri wasanii wanaoendelea kujihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya, sababu nilishaongea mengi tangu awali nilipotangaza nimeacha,â aliongeza TID.
Recent Comments