Presha ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili.
Aina za presha.
Zipo aina kuu mbili za presha, yaani;
(I) PRESHA YA KUPANDA
(II) PRESHA YA KUSHUKA.
PRESHA YA KUPANDA.
Presha ya kupanda ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye vishipa vya damu (artery) kuwa mkubwa kuliko njia ya mishipa hiyo.
Presha itaitwa kuwa presha ya kupanda ikiwa iko juu zaidi ya presha ya kawaida ambayo ni 120/80mmHg.Presha yaweza kupanda mpaka kufikia 240/120mmHg.
Sababu kuu za kupanda kwa presha.
(i) Utumiaji wa chumvi nyingi kwenye chakula.
(ii) Unywaji wa pombe/sigara uliokithiri.
(iii) Msongo wa mawazo na kutokufanya mazoezi
(iv) Familia zenye matatizo ya moyo pamoja na kurithi.
(v) uzito mkubwa,unene na kitambi.
Dalili za presha kupanda.
(I) Kushikwa na kizunguzungu
(II) Kichefuchefu, tumbo kujaa na kutapika kusiko kwa kawaida
(iii) Kuvimba/kujaa maji kwa miguu,uso na mikono.
(iv)Kutokuona vizuri (kuona ukungu).
Â
Madhara yatokanayo na presha ya kupanda.
1ï¸ Uvimbe kwenye kuta za vishipa vya damu/kuziba kwa mishipa ya damu(artery) inayopelekea shambulio la moyo (Heart attack).
2ï¸ Moyo kushindwa kusukuma damu (Heart failure)
3ï¸ Kiharusi(stroke)
4ï¸ Kuharibika kwa ubongo.
Kwa upande mwingine;
PRESHA YA KUSHUKA.
Presha ya kushuka ni ile hali msukumo wa damu unakuwa mdogo kuliko upana (unene) wa vishipa vya damu hali inayopelekea damu chache kufika kwenye ubongo na viungo vingine vya mwili.
Presha ikishuka mpaka kufikia 90/60mmHg kutokea 120/80mmHg inatafsiriwa kama presha iliyoshuka.
Presha ya kushuka huchangiwa hasaa na moja ya sababu zifuatazo;
_Matatizo ya homoni.
_Maradhi ya moyo pamoja na maambukizo ya vishipa vya damu.
_Kisukari.
_Kubeba Ujauzito.
_Ukosefu wa virutubisho mwilini kama vile protini,madini ya chuma,Vitamin B-12 n.k
_Kushikwa na hasira pamoja na msongo wa mawazo.
Na moja ya dalili za presha hii ni kama vile;
_Mchoko(udhaifu), mwili kukosa nguvu na kuhisi kizunguzungu.
_Maumivu ya kifua pamoja na homa kali
_Kupumua kwa shida na moyo kwenda mbio (mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida).
_Maumivu kwenye kifua, bega la kushoto pamoja na kiwiko cha mkono.
Moja ya madhara yanayotajwa yatokanayo na presha hii ni mshtuko/kifo cha ghafla kunakotokana na viungo vya mwili kutokupata oxygen ya kutosha.
Epuka,dhibiti moja ya mambo yafuatayo ikiwa unasumbuliwa na tatizo la presha (aina zote) pamoja na athari zitokanazo na magonjwa ya moyo.
1.Kupata wasaa wa kufanya mazoezi ya viungo, kukimbilia au kuendesha baiskeli (wastani wa dk 45 kwa siku)
2.Epuka matumizi ya sigara, pombe na matumizi mengine ya madawa kama Heroine
3.Tumia kiasi sahihi cha chumvi, sukari au mafuta kwenye chakula chako(Sikiliza miongozo ya wataalamu).
4.Pata wasaa wa kupumzika (Zaidi ya saa 8 kwa siku)
5.Punguza unene au uzito uriokithiri.
Muhimu zaidi;
_Ipo mimea tiba yenye uwezo wa ajabu katika kutibu matatizo ya presha na kuondoa athari zitokanazo na magonjwa ya moyo kwa haraka sana.
_Dawa hii ina ufanisi wa kutibu na kurejesha afya yako kwa muda wa siku 6 pekee, ndani ya siku 6 pekee presha inaondoka kama ambae hakuwahi kuwa na tatizo hilo.
Hii dawa si kwamba tu inakuacha huru dhidi ya matumizi ya kila siku ya dawa za hospital bali pia inakurejeshea afya yako kama ambae hakuwa na tatizo hili.
Recent Comments