Idris ameeleza hayo wakati wa uzinduzi wa filamu ya âHeaven Sentâ siku ya Jumamosi baada ya kuingia ukumbini akiwa na Wema Sepetu, jambo lilowapatia tafsiri mashabiki na wadau kuwa wawili hao wamerudiana.
â Mimi siko na mtu yeyote kimahusiano, am single ,â amesema Idris pia akaongeza kuwa âNiliona amepost kuwa anataka date mie nikasema nampitia kwa hiyo sikuwa na haja ya kuomba date wala nini nikasema maana mzuri nampitia, kwa bahati nzuri nikakuta hamna mtu aliyempitaia huwenda waliokuwa anatolewa baru.â
Vile vile mchekeshaji huyo afunguka kuwa Mke haachi, hii ni baada ya kuulizwa kuwa huwa anatokaga ma mrembo huyo.
Recent Comments