yes 250

MICHE YA PARACHICHI ZA KISASA INAPATIKANA NGARA AVOCADO GARDEN KABANGA NGARA MKOANI KAGERA

Kama wewe ni mkulima wa zao la parachichi au unatamani kulima zao hilo habari njema ni kwamba miche ya kisasa na yenye ubora wa hali ya juu inapatikana Ngara Avocado Garden.

Kitalu cha Ngara Avocado Garden kinapatikana Katika kijiji cha Kabanga,Kata ya Kabanga wilayani ngara mkoani Kagera mkabala na shule ya Mwanga English Medium.

Ngara Avocado Garden pia wanasafirisha miche kwa makubaliano na mteja, Wasiliana na watoa huduma kwa namba +255 629 268 603

About Anko G

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Endelea Kupata Habari Mbalimbali, Weka Email Yakol

Habari, Uchambuzi, Burundani na n.k.